Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

Lokizo ndefu sana afadhali professor ndlichako aifupishe to! !! maana dogo anatangaza wizi wa dawa ! !!
 
Upo serious au umeamua kutuchekesha. Unawaza kuiba dawa hospitalini!!!!!!!!!!! Bora tu udisco uwe mganga wa kienyeji!
Pitia sera wa wizara ya afya: pharmasia 1 anasimamia duka 1 tu. kinyume na hapo TFDA wakikukamata unalo.
 
Kuna ka ukweli na unayosema na hasa ukiwa mfamasia wa wilaya kwenye wilaya zilizochangamka.

Na hasa kama unajituma na unapenda kazi. Hutategemea mshahara wako kamwe.

Na kama ni mwalimu mzuri. Utapata semina hizo mwenyewe utazikataa.
 
Degree pharmacy, medical lab,Nursing wote ni TGS C 980000tsh ,medical doctor TGS D 1480000 TGS
Uko vema,wengi hawaelewi yanayojiri duniani,wamekalia kukariri madesa.Anasema pharmacy ni ngumu,kuliko kozi gani?
 
Uki disco karibu tuwekeze kwenye uchawi na uganga wa kienyeji. Kuna Wateja wengi sana maana watu imani zao no haba sana hivo utapata hela sana tofaut na hayo maigizo yako
 

Ukiona mtu anaandika maneno kama haya na bado watu wanalike, huo huwa ni msiba wa taifa bila shaka.
 
Ukiwa mwanachuo halafu ndio first year ndoto huwa ni nyingi sana.

Mi nikiwa first year nilikua naota ndoto ya kufanya kama sio b.o.t basi angalau tra.. Lakini sasa hivi ukiniona nilipo huku mtaani dot com, ni kuisima namba mbili kutwa mara3… hatariii.. Acheni dogo aote, ndo muda wake huu, hana muda mwingine maana baada ya hapo breki ya kwanza ni mtaa kwa mtaa..
 
Nahitaji mfamasia nipige nae kazi, for negotiation and other issues pertinent to pharmacy business, plz pm
 
[emoji120] [emoji120]
 
Nani kakwambia mpharmacia anafanya kazi ya kuuza dawa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mpharmacia aliyeajiriwa na serikali mshahara anavuka 1.2million .
PLUS [emoji28]DUKA LAKE BINAFSI LA DAWA KARIAKOO.
PLUS [emoji28]MADUKA YA KUSIMAMIA 2 kila duka 1million per month ya wahindi pale POSTA.
Bado Seminar za hapa na pale.
NAAKATI MD MSHAHARA WAKE UMESIMAMA TU.
 
Mtoa Maada hawezi kuwa anasoma pharmacy. Hayupo serious
 
La 7'B ndo mpango mzima ....hakuna raha kama cheti kuwa mdomo wako tu tuulize sisi
 
[QUOTE="Msiba wa Taifa, post: 18909185, member: 396624"]Degree ya pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania[/QUOTE]
Tunakubali usome ili ulipe mkopo wako wa elimu, uisaidie familia yako na uishi maisha unayotaka, ila utavuruga pale utakapoanza kuongelea michongo, wizi, rushwa au kupiga dili...
Yale yale ya ...Home » Kitaifa » UTAFITI:WATANZANIA WAONGOZA KWA KUTOKUWA NA UAMINIFU...!!! UTAFITI:WATANZANIA WAONGOZA KWA KUTOKUWA NA UAMINIFU...!!! | Swahiba Media

Tubadilike vijana, hayo ni maisha feki kabisa!
 
kuna ukweli hapa mkuu ila ugumu uko maana ajira za magu ni ngumu.
 

Umekaa uchi mwenyewe halafu unasema hutaki matusi..........Nyambafu Fisadi mkubwa wewe.......Mwizi wa dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…