TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

Inaelezwa kwamba kiwango cha vifo vinavyotokana na upasuaji wa kuongeza makalio (BBL) ni kifo kimoja kati ya kila Watu 3000 ambapo upasuaji huo wa BBL ndio upasuaji wenye kiwango cha juu zaidi cha vifo vilivyorekodiwa kuliko upasuaji mwingine wowote wa urembo.
Kwanini nao hawakumleta Mloganzila? Unaona sasa!
 
Wapo wanaosemwa vibaya
Ni kumkosea marehemu

Nakumbuka kilipotokea kifo cha warumi jinsi members walivyokuwa wanaparuana kutaka picha yake wengine wakituma paparazzi wakiwa na kamera za kisasa mradi wapate picha yake

All in all Marehemu waheshimiwe na kunenewa mazuri
 
Back
Top Bottom