Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshapoa mwayaPolee kipenzi
Kweli kabisa,nimekaa chini na kuiweka simu kifuani nimefungua picha yako moyo ukiwa unaenda mbio na kupata maumivu ila nikakumbuka kurudi kusoma upya ili nipate uthibitisho huku mikono ikiwa inatetemeka na kutokwa jasho jingi,Ahsante Mungu bado unapumua.Muongo wewe🤣🤣
He he heeeee picha ipi hiyo? Avatar? 🤣🤣Kweli kabisa,nimekaa chini na kuiweka simu kifuani nimefungua picha yako moyo ukiwa unaenda mbio na kupata maumivu ila nikakumbuka kurudi kusoma upya ili nipate uthibitisho huku mikono ikiwa inatetemeka na kutokwa jasho jingi,Ahsante Mungu bado unapumua.
Kuhusu picha gani,haikuhusuHe he heeeee picha ipi hiyo? Avatar? 🤣🤣
Haya bana😀Kuhusu picha gani,haikuhusu
Ila kiufupi nilikuwa nakata roho pia🤣
Yaani mstuko niliopata!Sijui nani ataliziba pengo lakoHivi siku nikifa mtasikitika?
Litazibwa na Evelyn Salt 🤣🤣Yaani mstuko niliopata!Sijui nani ataliziba pengo lako
Eeeeh labda Evelyn Salt ila timu itapwaya sana maana wawili mnakiamsha freshLitazibwa na Evelyn Salt 🤣🤣
Mtazoea tuEeeeh labda Evelyn Salt ila timu itapwaya sana maana wawili mnakuamsha fresh
Na ndio lengo la mleta mada kupasua mioyo yetu shenzy zake kabisa🥲
Afadhali nimepata feeling siku nikifa watu watareact vipi😀
Basi Yesu akutunzeMtazoea tu
Makusudi kabisaNa ndio lengo la mleta mada kupasua mioyo yetu shenzy zake kabisa🥲
Alie asilie Wewe hautapata faida wala hasara yoyoteSiku nikifa utalia?
Amen my dear.Basi Yesu akutunze