TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

Siasa na Makundi zilichangia pakubwa kupelekea ashambuliwe

Ndiyo mara ya kwanza kuona watu wakifurahia kifo cha mwenzao tena wengine wakiwa ni WanaCCM wenzake

So sadly [emoji25]
Nilishangaa, siasa mbaya sana
 
Hivi siku nikifa mtasikitika?
Mi nitasikitika aisee japo hata sikujui zaidi ya kupishana majukwaanj.

Ndio maana nilipouona huu uzi ghafla nikajikuta nahuzunika mpaka niliposoma ndani ndo nikajua sio wewe.
 
Demi si ingewezekana basi Moderator (s) wangeboresha heading kuwa Demi wa UK maana hii thread lazima ilete taharuki kila inapofufuliwa

Halafu imewekwa kabisaa TANZIA.... tokea lini raia wa uingereza akafanyiwa tanzia Tanzania bana?

Mods hebu tafakarini hii thread maana kiafrika inabeba uchuro usiovumilika
 
Si angevaa matambara mengi tu
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mods wameona imekaa sawa๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ