Demiss amepotelea wapi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui mtu unajiamini nini watu wanakujua halafu unaandika uongo.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ktu kigumu kama kwenda kumuelezea hisia mtu ambae unahisi siyo hadhi yako, inawezekana pia ndo maana wanawake warembo sana wanachelewa kuolewa maana na yeye akijijua ni mrembo anaku underrate mbaya mbovu kwakua hisia zake ni kuwa na mtu bora zaid yako mwsho wa siku akimkosa ndo anaolewa uzeeni Sasa ili mambo yasiwe meng naamua kusumbuana na kina mwajuma huku mtaani[emoji16]
 
Wa kuanikwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule Hawezi kufanya huo upuuzi labda hawa wanga wengine!! Asante lakini [emoji120][emoji23]!
Nilimkanya akiendelea na tabia hiyo, nambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni

Akanitaka radhi kwa kunipa K Vant kubwa mbili yakaisha
 
Vitu vinapita na maisha yanaendelea, kuna muda ili usiwape maadui nafasi unakomaa.

Mane asingetoka angekomaa humu humu watu wanasahau na wanaendelea na mengine.
Sio kwa JF aisee..watu wakikaa kidogo wanakumbushia..unakua bullied. Huwezi kuwa na amani especially kama una roho legevu[emoji23]

Kama hapa hii issue ina miezi ila watu wamefukua..mwakani tena unakuta kinaulizwa kingine linaingizwa na la mane..unavumilia mwisho unabadili tu
 
Nilimkanya akiendelea na tabia hiyo, nambadilisha jinsia afu kikojoleo nakiweka usoni

Akanitaka radhi kwa kunipa K Vant kubwa mbili yakaisha
K vant kubwa!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23] Asante sana najua unanijali sana ni basi tu !!!
 
Mimi nimechoka na kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]kule walifurahi huku wanasikitika[emoji23][emoji23]

Mimi nilifurahia niwe mkweli[emoji23][emoji23]
Hutaki unafki mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kiukweli sikupenda alivyokua anamtetea na kumkandamiza yule kijana na sikupenda pia alivyowekwa wazi

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…