Demiss amepotelea wapi?

lakini akabisha, sio kila kitu lazima ulete ubishi kuna muda unanyamaza kuepusha shari

Hii JF ukae kwa akili sana la sivyo ndiyo unajikuta unapotezwa.
Shida ya yule dada alikuwa anajieleza sana Maisha yake na harakati zake za maisha ni sawa sio mbaya ila sio kwenye wingi wa watu kila mtu ana mtazamo tofauti
 

Usiwape nafasi au Info ya kukufanya uwe bullied, ukiona mtu anaelekea kukukera na huwezi kustahamili unamblock maisha mengine yaendelee.

Humu JF unatakiwa kukaa kwa akili sana.
 
Ni hivi nyie ndio mnajiumbia kichwani kuwa wanawake humu warembo kama malaika Hiyo dhana mfute Uzuri wa mtu Upo machoni kwa mhusika mi naweza kukuona wewe nikavutiwa sana,lakin mwinginee akakuona akaona we mbayaa na hakutaki
Eeh unajua hata hapa jf wanaume wengi huwa wanapenda avatar , Yani sisi wanaume bana Yani sisi tulishaumbwa kupenda kile tunacho kiona, avatar ikiwa ni ya mrembo sana ujue Kuna mwanaume hapo moyoni anajisemesha "inaonekana huyu dada ni mrembo sana" had akuone ana kwa ana ndo anaanza kuwa disappointed knoma[emoji16]
 
Hahahahaaaa. Mambo yasiwe mengi.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha twin ungekosa hapa nimgejimurder[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]

Nakumbuka kwenye huo uzi ulikinukisha[emoji16][emoji16][emoji848]

Nasikitika ujaniita mapema[emoji23][emoji23]

Twin aliboa
 
Yaan ukatongozwa![emoji848][emoji848]
 

Sitaki kabisaa!!![emoji23][emoji23][emoji23]

sasa labda ilikua ndiyo njia pekee ya dada kunyamaza[emoji23][emoji23]
 
Usiwape nafasi au Info ya kukufanya uwe bullied, ukiona mtu anaelekea kukukera na huwezi kustahamili unamblock maisha mengine yaendelee.

Humu JF unatakiwa kukaa kwa akili sana.
Tena ukiblock maisha yanakua rahisi tu. Maana shida nyingine ya JF mtu unaweza kuwa hujamkosea popote akakuchukia tu na akasambaza chuki kwa wajinga wenzie. Unashangaa umecomment kitu mahali mtu anakuja kuweka mazingira mgombane. Mi nikishaona hivyo tu nakutia block maisha yasonge.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Usiwape nafasi au Info ya kukufanya uwe bullied, ukiona mtu anaelekea kukukera na huwezi kustahamili unamblock maisha mengine yaendelee.

Humu JF unatakiwa kukaa kwa akili sana.
I agree ila ndio uwe na moyo wa chuma haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…