Demiss amepotelea wapi?

Sasa wengine tumeweka avatar za kina amber rose jamani utavutiwa nae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnachekesha kweli
 
Eheeeee umeona unafiki unaoendelea hapa asee?[emoji848][emoji848]

Ndo maana twin nakukubali nyueupe nyeupe!

Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana, yaan hapa wamebadilika wote[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787]
 
Maneno aliyokua anaonge kwenye uzi ule yalimfanya hadi jamaa mleta mada aanze kuomba msamaha kwa wadau. Alianza kujiona yee ndio mwenye makosa kuleta uzi wa kutapeliwa, wadau wakamuweka 18. Mangungu alikoment bila kutaja mtu bidada ikamtachi akampalamia mzee mangungu akamwaga faili zima. Watu walifurahia ila hapa wanajifanya kumtetea.
Unafki mbaya

Yule gal ana matatizo nadhani maana hafi picha zake za uchi watu waliziona 2018 na 2019 wakamlipua JLW ila bado hakomi.
Halafu kuna watu humu walihifadhi picha zake za uchi ila hapa wanajifanya malaika, nawachora tu[emoji1][emoji1]
 
Usiwape nafasi au Info ya kukufanya uwe bullied, ukiona mtu anaelekea kukukera na huwezi kustahamili unamblock maisha mengine yaendelee.

Humu JF unatakiwa kukaa kwa akili sana.

Panaitwa nyumba ya vioo, usianzishe ugomvi.

Kosa kubwa ni kufikiri watu wa JF wanatoka sayari tofauti, ni hawa hawa tuko nao mtaani. Watu wa kaliba zote.
Waungwana, wenye chuki, wasiojali, wakarimu, wababe, wapole, vichaa n.k uvumilivu na staha jambo la muhimu sana.

Lakini sioni haja ya kuumiza kichwa au kugombana na mtu JF ambae haikuongezei wala kukupunguzia chochote.

Binafsi hua nimejiandaa kwa lolote kwa vile najua binadam aliyezaliwa na mwanamke anaweza kufanya chochote, wakati wowote bila kujali chochote.
 
Upo kati kati kama Mzigua[emoji23][emoji23][emoji23]
hamkupenda Kijana alivyozongwa na hamkupenda dada alivyotolewa siri.....Ila mnatakiwa mchague kimoja msiwe katikati[emoji23][emoji23]
Yeah namie kama mzigua, sikupenda alivomuattack yule kaka kwa kumsema hata akipewa kazi akicheleweshwa mshahara atatangaza....na pia kuanikwa vile haikuwa poa.

Ila pia nlikuaga nabaki hoi zile mishe. Kwamba chini ya hili jua sijui alibakiza biashara gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kunangwa sasa!!! Watz wavivu, hatujitumi, mtz mimi nlikua nasoma comments tu....
 

Kabisaa siwezi kuruhusu mtu uniharibie mood yangu aisee
 
I like u,I like this comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…