Demiss amepotelea wapi?

Natamani kukuuliza we ni nani huko b4 maana naona ni member since sept 2021 😂😂😂😂 na unajua mambo ya 2018.

Au ndio nyie mnatung'ata na kupuliza.
 
Depression ya nini sasa? Mbona pia boroo linakuwa hadharani?

Zaidi ya yote papa ndo lilikuzaa wewe, ni mlango kabisa so what?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaza ubongo ila Papa likivuja jua mwanamke umedhalilika sana hasa likiwa linaliwaa...!! Dyudyu labda kiwe kibamiaa.. kama kubwa wadada wataongezeka kukusumbua
 
Upo kati kati kama Mzigua[emoji23][emoji23][emoji23]
hamkupenda Kijana alivyozongwa na hamkupenda dada alivyotolewa siri.....Ila mnatakiwa mchague kimoja msiwe katikati[emoji23][emoji23]
Mimi siko katikati jamani. Sikupenda tu yote yaliyotendeka. Sawa mwenzetu alikosea ila ile adhabu aliyopewa ilikua kubwa sana. Ugomvi wa mawe mwenzie akashusha guruneti.
Ila naamini alijifunza kitu Wangari.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kidume mzima nna ndevu zangu nikatupiwa voko [emoji16]

Sema sio wote wana mambo hayo
Kuna mdada mmoja ana roho nzuri mnoo huwezi amini..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hukuogopa? Mimi ningekua wewe ningemblock hapo hapo. Unatongozaje mtu humjui? Je kama ndo mtu wako nae yuko huku?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 

Kila Mishe kafanya anaijua na inamuingizia pesa!! Mimi pia nilikua napita tu comments zake maana nilikua naona drama tu!!

Kumbe hakuna cha migodi wala nini daah[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa wengine tumeweka avatar za kina amber rose jamani utavutiwa nae [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnachekesha kweli
Weka hata ya KimKardashian tunamjua na tunajua siyo wewe lakin jinsi itakavyokua inapendeza tunaanza kuhusianisha na wewe kihisia kuwa utakua mrembo hivyohivyo , Nilishawahi kumtongoza mdada fB kisa napenda jina lake na jinsi anavyo andika comments zake yaani hajaweka hata profile pictures ipo ile kivuli ila nikamsifia kuwa yeye ni mrembo
 

Sasa Mangungu angefanyaje maana alianza kwa kuonya wote wanaomkandamiza dogo ila Wangari akaibuka na kureply si angemute tu kama wengine.

Ugomvi wowote hakuna kuchaguliana silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…