Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Natamani kukuuliza we ni nani huko b4 maana naona ni member since sept 2021 😂😂😂😂 na unajua mambo ya 2018.Maneno aliyokua anaonge kwenye uzi ule yalimfanya hadi jamaa mleta mada aanze kuomba msamaha kwa wadau. Alianza kujiona yee ndio mwenye makosa kuleta uzi wa kutapeliwa, wadau wakamuweka 18. Mangungu alikoment bila kutaja mtu bidada ikamtachi akampalamia mzee mangungu akamwaga faili zima. Watu walifurahia ila hapa wanajifanya kumtetea.
Unafki mbaya
Yule gal ana matatizo nadhani maana hafi picha zake za uchi watu waliziona 2018 na 2019 wakamlipua JLW ila bado hakomi.
Halafu kuna watu humu walihifadhi picha zake za uchi ila hapa wanajifanya malaika, nawachora tu[emoji1][emoji1]
Au ndio nyie mnatung'ata na kupuliza.