Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Demiss, Mzigua90 na Sky Eclat huwa mnalalaga saa ngapi, muda wote mko Online 24/7, au hamna waume/wapenzi? Mtujuze

Km unafeel good ni poa,
Sisi wengine kwenye mapenz hatupo serious sana,
Tumekomaa,

Leo na huyu kesho na yule na maisha yanasongaa,

What important is to be happy,

Life is good
Hata Na Mimi sijui. Bahati mbaya watu hawaamini nikisema Niko single wanahisigi nazingua.
 
Malezi ya kiafrika yametujenga kiukatili, ubinafsi na roho mbaya.
Mi niliachana na habari za "watu watanionaje"

Nafanya kile nahisi ni kizuri kwangu na hakiathiri maisha ya mwingine.

Ukiona mtu anamdharau single mom jua huyo ni mbinafsi na mchoyo.

(Ofcoz zaman nilikuwa hivyo, lkn kadri ninavyokutana na watu wenye exposure nimebadilika kifikra).
Wanasema tunawakimbia Single Mama, hawajui wapo single mama ambao watoto wao wapo chooni!
 
Malezi ya kiafrika yametujenga kiukatili, ubinafsi na roho mbaya.
Mi niliachana na habari za "watu watanionaje"

Nafanya kile nahisi ni kizuri kwangu na hakiathiri maisha ya mwingine.

Ukiona mtu anamdharau single mom jua huyo ni mbinafsi na mchoyo.

(Ofcoz zaman nilikuwa hivyo, lkn kadri ninavyokutana na watu wenye exposure nimebadilika kifikra).
Watoto ndo wanadharau single moms Na wengine mama zao ni single moms zile hasira za wazazi waake kutopatana anahamishia Kwa mama kuwa ni kosa lake. Wakikua wataacha
Nimeona mkuu. Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom. Atakaenichukia akanywe simu afe maana Hana Mchango wowote kwenye maisha yangu
 
Kwani wewe huwa unalala saa ngapi manake nikama vile na wewe uko live 24/7
 
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online

Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao

Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf

ndioo maana insta babe huku hujiachii kama kule insta eeeeh

mapicha ya south mara state kumbe huku unaogopa kuyapost sababu ya watu kama hawa

😂😂😂😂😂
 
Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom
Nikiwa Darasa la Saba, Mzee alianza ugomvi Nyumbani.. mara Kumpiga mama n.k, Kulikuwa na Guest House akauza.. maduka yalikuwepo mawili akauza.. akaoa na mke wa pili.. akahama na nyumbani.. tukabaki na Mama.. maisha yalikuwa Magumu sana kwa sababu hatukuzoea kuishi hivyo.. Mama alitusomesha kwa shida vivo hivyo Mpaka namaliza chuo Kikuu na Mdogo wangu wa Mwisho yupo Kidato cha Nne.. Hakukuwa na Msaada wa mzee.. Mom was single, Na hakutuacha.. Kila ninapokumbuka haya kamwe siwezi kuwadharau single moms.. maybe wana makosa yao ila katika case ya kulea familia zao kamwe siwezi kuwabeza!.. Kaza mama Yajayo yanafurahisha!!
 
Back
Top Bottom