Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Sorry. ..we ni me/ke?wala siwezi kumaindi, humu kuna majungu mengi sana huwezi kukwepa lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry. ..we ni me/ke?wala siwezi kumaindi, humu kuna majungu mengi sana huwezi kukwepa lolote
Hata Na Mimi sijui. Bahati mbaya watu hawaamini nikisema Niko single wanahisigi nazingua.
swali kama hili huwafikirishi kuwa umewaza nini hadi uulize hiviSorry. ..we ni me/ke?
Ningeweza kutanga tanga nisingekua single abadani. Tatjzo moyo wangu Una kiherehere sanaKm unafeel good ni poa,
Sisi wengine kwenye mapenz hatupo serious sana,
Tumekomaa,
Leo na huyu kesho na yule na maisha yanasongaa,
What important is to be happy,
Life is good
swali kama hili huwafikirishi kuwa umewaza nini hadi uulize hivi
Wanasema tunawakimbia Single Mama, hawajui wapo single mama ambao watoto wao wapo chooni!
cc Mzigua90Ukiona mtu anamdharau single mom jua huyo ni mbinafsi na mchoyo.
Ukisikia wimbo Wa "Alisema" nyerere ndio huuuu ........kesho twende BASATA wakatukagua kwanza kabla ya VideoAcha payo
Mimi Single Mom Yes
Sky mke wa mtu
Demiss watoto wake kawabeba kiunoni bado.
Usijifanye unajua Sana watu utasutwa Na kigoma cha Uruguay mwanaume
Watoto ndo wanadharau single moms Na wengine mama zao ni single moms zile hasira za wazazi waake kutopatana anahamishia Kwa mama kuwa ni kosa lake. Wakikua wataachaMalezi ya kiafrika yametujenga kiukatili, ubinafsi na roho mbaya.
Mi niliachana na habari za "watu watanionaje"
Nafanya kile nahisi ni kizuri kwangu na hakiathiri maisha ya mwingine.
Ukiona mtu anamdharau single mom jua huyo ni mbinafsi na mchoyo.
(Ofcoz zaman nilikuwa hivyo, lkn kadri ninavyokutana na watu wenye exposure nimebadilika kifikra).
Nimeona mkuu. Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom. Atakaenichukia akanywe simu afe maana Hana Mchango wowote kwenye maisha yangu
Ndo wimbo gani huo mkuuUkisikia wimbo Wa "Alisema" nyerere ndio huuuu ........kesho twende BASATA wakatukagua kwanza kabla ya Video
Ingia YouTube uuone huo "Alisema" from nay/mitegoNdo wimbo gani huo mkuu
SawaaIngia YouTube uuone huo "Alisema" from nay/mitego
Usikiluze moyo unasema nini,Ningeweza kutanga tanga nisingekua single abadani. Tatjzo moyo wangu Una kiherehere sana
Naendelea kuusikiliza sina jinsiUsikiluze moyo unasema nini,
Kwa jamii yetu, mwanamke huwez kufanya km mimi,
Utaumia zaidi
Ila una kazi kuangalia nani na nani wapo online
Ebu mm nikuulize wewe inakuhusu nini kwa mfano simu zao mabundle yao
Jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana simu yako bundle lako na unapangiwa jinsi ya kuingia jf
Nikiwa Darasa la Saba, Mzee alianza ugomvi Nyumbani.. mara Kumpiga mama n.k, Kulikuwa na Guest House akauza.. maduka yalikuwepo mawili akauza.. akaoa na mke wa pili.. akahama na nyumbani.. tukabaki na Mama.. maisha yalikuwa Magumu sana kwa sababu hatukuzoea kuishi hivyo.. Mama alitusomesha kwa shida vivo hivyo Mpaka namaliza chuo Kikuu na Mdogo wangu wa Mwisho yupo Kidato cha Nne.. Hakukuwa na Msaada wa mzee.. Mom was single, Na hakutuacha.. Kila ninapokumbuka haya kamwe siwezi kuwadharau single moms.. maybe wana makosa yao ila katika case ya kulea familia zao kamwe siwezi kuwabeza!.. Kaza mama Yajayo yanafurahisha!!Na I'm not ashamed ndo maana nasemaga Mi single mom