Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

Nimekuambia Eastern Europe wametawaliwa mpaka 1990, Mbona wameendelea?

Wale waliokataa demokrasia wamebaki maskini mpaka leo.
Soviet Union ilikuwa imeendelea na kuwa taifa kubwa na kuzalisha vita baridi kati yake na marekani
 
hakuna democracy duniani kote amini nakwambia...!
Demokrasia ipo. Labda useme hakuna absolute democracy.

Wenzetu wana uhuru wa kumtoa kiongozi kwa kura na kwa kufanya hivyo hupata viongozi wazuri.
Washangilie madikteta watakutenda wewe mpaka wajukuu wako.
 
Unatafuta visingizio vyote ila ukweli uko pale pale. Kwanini Poland iliyotawaliwa na Warusi mpaka 1990 iwe na maendeleo kuliko sisi tuliopata uhuru 1961?

Kwanini Nchi zile za Yugoslovakia ya zamani ziendelee kuwa nyuma kuliko hata Romania?
Nimetafuta visingizio au nimejibu yale unayo uliza ?
 
Demokrasia ipo. Labda useme hakuna absolute democracy.

Wenzetu wana uhuru wa kumtoa kiongozi kwa kura na kwa kufanya hivyo hupata viongozi wazuri.
Washangilie madikteta watakutenda wewe mpaka wajukuu wako.
wapi nimesema nawashangilia madictator...? huu ni mfumo tumeukuta...!
 
Uielewi Soviet!!! Aliyejenga Vita baridi ni Churchill na tamaa zake kwa kutaka kumzunguka mshirika wake katika kumkabili Adolf wa Ujerumani!!!
Vita baridi imeanza baada ya kutamatika kwa II WW
 
Ishu za usalama hazina demokrasiA
 
Nchi gani za Africa zina demokrasia kwa sasa au hata zilianza na demokrasia?
 
Nimekuonyesha acha kuleta story za kutetea wachafuzi wa demokrasia kwa story za vijiwe vya kiccm.
Duuh! Changamoto. hebu soma swali tena halafu rudia kusoma ulicho jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…