Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
SahihiKama ni hivyo Africa ndio ilipaswa liwe bara lenye maendeleo sana, maana huku demokrasia ni ya kutafuta kwa torch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SahihiKama ni hivyo Africa ndio ilipaswa liwe bara lenye maendeleo sana, maana huku demokrasia ni ya kutafuta kwa torch.
Hakina chuki kwa alichokiandika ni actual facts, ametumia UTUMWA kwani katika nchi alizozitaja UTUMWA ulitumika Sana USA, Canada kwa wastani, India ni Ukoloni walitawaliwa na Uingereza. Na title ya post yake amezungumzia UDIKTETA NA UTUMWA, hizo nchi za SCANDINAVIA na JIRANI ZAO, Hugo kulikuwa na tawala za KIFALME, na hizo tawala ni UDIKTETA kwani amri ni ya mtu mmoja ( ONE MAN RULE )Denmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi
HIZI NI ZA SASA:: Singapore, UAE, Qatar, Saudi Arabia, China, Taiwan, Vietnam, India, Cambodia, Indonesia,Mimi nilifikiri ungeuliza nchi gani ya kidikteta imeendelea?
Nchi zaidi ya asilimia 90 zilizoendelea ni za kidemokrasia. Dictatorship labda China tu.
Afrika yote sehemu kubwa madikteta tu na huku ombaomba
Kama ule wa jpm? Aliyekuwa anajua yeyote anayedhani ni threat kwake? Ben saanane, Gwanda nk na kuua watu kwa kuiba hela zao bank na kuwafanya kufa kwa kiharusi kama Nimrodi mkono nk. Sema we hukufikiwa tu. Na wanaomfurahia jpm ni makapuku ambao walikuwa hawana madhara juu ya uongozi wake au furaha yenu ilikuwa vifo vya wanaojituma kutafuta maendeleo. Jpm alichukia kila anayejituma alitaka kila mtu awe maskini ili mumuabuduNaomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Ni sawa na kusema maendeleo yote ya Ulaya yalianzishwa na tawala za Kikristo hivyo Ukristo ndio dini ya maendeleo.HIZI NI ZA SASA:: Singapore, UAE, Qatar, Saudi Arabia, China, Taiwan, Vietnam, India, Cambodia, Indonesia,
HIZI NI ZILIZOTANGULIA: Great Britain, France, Italy, Spain, Portugal, Germany, Russia etc Tawala zote za ulaya maendeleo yalianzishwa na tawala za KIFALME .
Demokrasia ni nini?huo ndio ukweli...!
Hizo ni hadithi. Ebu weka hapa thamani ya rasilimali zilizochotwa na Japan nchini China Vs zilizoachwa ambazo zipo mpaka leo?Elimu yangu ndogo kabisa ya historia Japan kamtawala China miaka kibao kajichotea resources za kutosha.
Hizo zote zimeendelea zikiwa zinaongozwa kifalme.Denmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi
Canada imepata uhuru miaka ya 80, baada yetu. Marekani watu weusi wameruhusiwa kupiga kura miaka ya 1960's. Unasemaje ilikuwa ya kidemokrasia!!?Miaka ya 1770 kuendelea nchi za america zilipata uhuru
Marekani na canada zilichagua democracia na angalia zilipo leo
Nchi za america ya kusini zilikumbatia udikteta leo hii ni maskini baada ya miaka 200 ya uhuru
Mkuu hili nalo unauliza wakati ulipaswa tu ujijibu mwenyewe.Unatafuta visingizio vyote ila ukweli uko pale pale. Kwanini Poland iliyotawaliwa na Warusi mpaka 1990 iwe na maendeleo kuliko sisi tuliopata uhuru 1961?
Kwanini Nchi zile za Yugoslovakia ya zamani ziendelee kuwa nyuma kuliko hata Romania?
Umeongea uongo. Ni bora usemi hujui kuliko kujidhalilisha kwa kuandika uongo kabisa.Hapo kwenye demokrasia pia hawana. Mfano uingereza coz mfalme akisema waziri mkuu huyu simtaki basi hata kama kachaguliwa na wananchi, unaitishwa uchaguzi mwengine au anateuliwa mtu mwengine.
Marekani nako uchaguzi wao ni kichekesho, rais anaweza kushinda hata kama ana kura chache, kama akishinda kura nyingi kwenye majimbo fulani yenye watu weupe wengi au kura za turufu.
Mbona hatujiulizi kwamba hakuna rais atakaetoa maoni kupinga ushoga halafu akaachwa salama! Mfano Uganda, kama wazungu wanataka demokrasia na uhuru wa kujieleza si wamuache?
Na zile nchi zilizotawaliwq na Soviet Union mpaka 1990 na zikaamua kukumbatia udikteta Mbona bado ni maskini sana mpaka Leo? Kwani hizo hazikuachiwq misingi ya viwanda? Mfano Belarus.Mkuu hili nalo unauliza wakati ulipaswa tu ujijibu mwenyewe.
Yani nchi iliyotawaliwa ikajengwa viwanda na wakoloni unataka uilinganishe na nchi ambayo ilitawaliwa na kufanywa wakulima wa mashamba ya malighafi???
Hao wameachiwa msingi wa uchumi na waliowatawala usiwalinganishe na sie
Demon crasie- uhuru wa kipepo.Democrasia kamwe haijawahi wala haitakuwa rafiki wa maendeleo,kwa mtizamo wangu,democrasia ni uhayawani unao mruhusu hata mpumbavu kufanya upumbavu wake kwa uhuru.hakuna kufanya kazi,kutwa kuchwa mnabishana hakuna kufanya kazi. Nitafutie ni wapi kuna democrasia?kwenye familia hakuna democrasia,makanisani hakuna democrasia,kwenye vyama vya kisiasa hakuna democrasia,hata wewe mwenyewe moyoni mwako huna democrasia.
Democrasia ni mfumo wa shetani.
amenishangaza sana huyu mwanetuDenmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi