Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Maendeleo yanaendana na matumizi ya akili ipasavyo na sio ubabe ambao ni udiktetaHakuna nchi imewahi kutoka kwenye umaskini na kuendelea huku ikiwa ya kidemokrasia.
Magufuli alitumia ubabe kufuta mikataba kwa nguvu matokeo yake nchi imelipa mafidia mengi na bado kesi nyingine za kuvunja mikataba kiharamia zipo mahakamani
Afrika hatutaki kutumia akili alafu tunadhani kupitia udikteta tutapa maajabu ya maendeleo tunasafari ndefu sana