Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Maendeleo yanaendana na matumizi ya akili ipasavyo na sio ubabe ambao ni udiktetaHakuna nchi imewahi kutoka kwenye umaskini na kuendelea huku ikiwa ya kidemokrasia.
Pia lazima tufahamu kati ya democracy na dictatorship kipi kianze. Nchi za magharibi zilianza na udikteta baada ya kupiga hatua katika nyanja za maendeleo na ustaharabu Wakashift kwenda Kwenye democracy.
Africa ni vice versa tumeanza na democracy [emoji1787][emoji1787]
Hakuna democracy kwenye jamii masikini na isiyostaharabika.
Misingi ya German ya Leo ilijengwa na Adolph Hitler.
Hongera kumbe china hawagundui chochote ,tuishie hapoHizo ni hadithi. Ebu weka hapa thamani ya rasilimali zilizochotwa na Japan nchini China Vs zilizoachwa ambazo zipo mpaka leo?
Na kweli elimu yako ni ndogo sana.
Japan iliwahi kutawala eneo tu dogo la China, na siyo China yote.
US imewahi kutawaliwa na mataifa ya kigeni, lakini leo ni superpower.
Who colonized America?
Britain, France, Spain, and the Netherlands established colonies in North America. Each country had different motivations for colonization and expectations about the potential benefits.
Halafu ufahamu kuanzia leo kuwa natural resources haziifanyi nchi kuwa na maendeleo, japo inaweza kuwa ni ingridient. Utajiri mkubwa upo kichwani.
Wataalam wa Sayansi ya Saikolojia wanasema kuwa udikteta hufubaza akili na kuzuia ubunifu na ugunduzi. Ndiyo maana unaona mataifa kama China, hayagundui chochote. Wanaishia kuiga walivyogundua wenzao. Mifumo ya kidikteta ua Afrika, kuanzia ngazi za familia imefubaza akili ya Mwafrika. Hawezi kugundua wala hata kuiga.
Taiwan, singapore vipi?Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Maendeleo ni nini? Maendeleo ya kiuchumi ni nini? Maendeleo endelevu ni nini?Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
NdiyoNaomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Ww uliishi enzi za ukoloni na pan Africanist hadi useme wameandika chuki nyingi kuliko ukweli Hv enzi zile Elimu ilikuwa kwa kila mtu.Denmark Canada Sweden Finland Norway alimfanyia nani utumwa akawa na maendeleo.
Achana na chuki za panafricanist wameandika chuki nyingi kuliko ukweli halisi
Population ilikuwa ndogo elimu iliendana na idadi ya waliyohiitaji.maisha yalikuwa simple ajira tele,kilimo soko uhakika,biashara zinalipa uende shule kufanya nini.Ww uliishi enzi za ukoloni na pan Africanist hadi useme wameandika chuki nyingi kuliko ukweli Hv enzi zile Elimu ilikuwa kwa kila mtu.
Ubora huo uweke hapa tuuone ss sote na kea vigezo maalum yawezekana tulikuwa na maendeleo makubwa sana wakati huo.Population ilikuwa ndogo elimu iliendana na idadi ya waliyohiitaji.maisha yalikuwa simple ajira tele,kilimo soko uhakika,biashara zinalipa uende shule kufanya nini.
Walioishi enzi hizo wanasema maisha ya mkoloni yalikuwa mazuri kabla ya uhuru.
Uhuru ni kwa maslai ya wachache na sio wote kama enzi za ukoloni.
Hata ukifanya study maisha ya muafrika yalikuwa Bora zaidi kabla ya uhuru.
Karibu nchi zote za EU.Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
Sasa elimu ya kikoloni ni sawa na elimu yetu hii.Ubora huo uweke hapa tuuone ss sote na kea vigezo maalum yawezekana tulikuwa na maendeleo makubwa sana wakati huo.
Hapana, usiogope kuangalia...... ni MAANDAMANO huko MEREKANI ya wanafunzi wanaounga mkono PALESTINANaogopa kuangalia….wanauana kwani hiyo video?