Dena Amsi na Mr Rocky

Baba V wacha mambo zako. Unasubiri barua ya nini sasa wakati unaona mambo yanavyojipa aise mbona kila kitu kishakuwa poa
We Asnam anakutosha bana iruhusu ndoa yangu bana
 
Last edited by a moderator:
Baba V wacha mambo zako. Unasubiri barua ya nini sasa wakati unaona mambo yanavyojipa aise mbona kila kitu kishakuwa poa
We Asnam anakutosha bana iruhusu ndoa yangu bana

we we we we ujana ale na nani uzee amalizie kwangu akhuuu mpe zilipendwa wako [MENTION]Mamdenyi[/MENTION] labda wataendana teh teh teh afu sio tabia nzuri kumpa cha mbavu ma mdogo alivyokuzimikia vile.
 
Anipe nani..!!?? Mamndenyi!??! nimemkuta jukwaa la selebritiz anaonekana kavurugwa sana na move ya Mr Rocky... afu ile gari yako aina ya CANDYSHOP nimeshaitoa bandarini...
 
Last edited by a moderator:
Acha maneno dizaini hiyo mtoto.! Nungunungu mwenyewe pamoja na kuwa na miiba mwili mzima lakini anapigwa mimba hivyohivyo..... I miss you

hahahahaha mwambie Mentor arudishe ulichomkabidhi siolewi vizee vihuni mimi......umeshafikia umri wa kucheza bao kijiweni pilika za nn kwenye viuno vya watu.
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha mwambie Mentor arudishe ulichomkabidhi siolewi vizee vihuni mimi......umeshafikia umri wa kucheza bao kijiweni pilika za nn kwenye viuno vya watu.

Kaka ako mwenyewe ananikubali sana, nitafute jioni tuweke mambo sawa wakati unasubiri kikao cha familia yenu
 
Last edited by a moderator:
una jeuri ya kuninunulia lolpop wewe au unajibaraguza hapa...........umgemsaidia kumrudisha nyumbani asiendellee kuvurugwa zaidi.

Uje nikukabidhi ndo utajua mimi ni mutu ya vitendo zaidi, ningesema nimsaidie Mamndenyi angening'ang'ania, unajua yuko very desperate...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…