Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
hapana...hahahahaha..nitamfikiria...
hutaki kua mshika pembe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana...hahahahaha..nitamfikiria...
we dingi sitaki uchuro hapa
we we we we ujana ale na nani uzee amalizie kwangu akhuuu mpe zilipendwa wako [MENTION]Mamdenyi[/MENTION] labda wataendana teh teh teh afu sio tabia nzuri kumpa cha mbavu ma mdogo alivyokuzimikia vile.
Acha maneno dizaini hiyo mtoto.! Nungunungu mwenyewe pamoja na kuwa na miiba mwili mzima lakini anapigwa mimba hivyohivyo..... I miss you
hahahahaha mwambie Mentor arudishe ulichomkabidhi siolewi vizee vihuni mimi......umeshafikia umri wa kucheza bao kijiweni pilika za nn kwenye viuno vya watu.
una jeuri ya kuninunulia lolpop wewe au unajibaraguza hapa...........umgemsaidia kumrudisha nyumbani asiendellee kuvurugwa zaidi.
Kaka ako mwenyewe ananikubali sana, nitafute jioni tuweke mambo sawa wakati unasubiri kikao cha familia yenu
nyie mta uwa mke mke wangu Evelyn Salt kwa presha.​i love him tooo heheee