Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Nimeona dear..... Ndio ujue kuwa mume wa mtu ni sumu lol.... Mimi pia nawachora tu wanaomkodolea mijicho nitonye......siku wakisikia tumerudiana sijui wataweka wapi nyuso zao..... Wamesahau kuwa mke na mume huwa hawaachani teh

Mtanifanya mwenyekiti wenu niwehuke sasa kha...!! ladyfurahia niandalie fasta kile cheti cha ndoa kama cha Madame B ili wawe wanaongeza tu waume...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom