Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,351
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
​i love him tooo heheee
Nimeona dear..... Ndio ujue kuwa mume wa mtu ni sumu lol.... Mimi pia nawachora tu wanaomkodolea mijicho nitonye......siku wakisikia tumerudiana sijui wataweka wapi nyuso zao..... Wamesahau kuwa mke na mume huwa hawaachani teh
Heri mimi niliye singo na sibabaishwi na albam.
Mtanifanya mwenyekiti wenu niwehuke sasa kha...!! ladyfurahia niandalie fasta kile cheti cha ndoa kama cha Madame B ili wawe wanaongeza tu waume...
nyie mta uwa mke mke wangu Evelyn Salt kwa presha.
kaah! Hadi wewe ndugu yangu?
akha mi nilimsemea ndugu
yangu tu,me i don' love u hata kiduchu!!
u hate me?
​shemeji yangu na wewe?!!!!vp Lady doctor umemuona Passion Lady anawafaa?
​shemeji yangu na wewe?!!!!
ujue singo zako zikiunganishwa unapata album