Sasa kwanini walikuwa wanasema Magufuli amekopa sana?tafaoti ya samia na magu ni usiri tu samia anakopa mchana kweupe magu akikoea kizani lakini kukopa ni kukopa tu awenda kama angekuwepo magu angekuwa kasha kopa zaidi
Bado ni stahimilivu!Deni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4
Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB
Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98
Maelezo zaidi
View attachment 2534658
WATANZANIA MSIHOFU NCHI IPO JUU KIUCHUMI INAKOPESHEKA TUTAENDELEA KUKOPA TUDeni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4
Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB
Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98
Maelezo zaidi
View attachment 2534658
Tutalipa tu, si mabarabara, hospitali, standard gauge, madaraja, na mambo lukuki tunayaona yanajengwaDeni limeongezeka kwa Tril 4 ndani ya miezi 4
Deni halijumuishi Tril 1.3 ambayo tumekopa Mwezi uliopita kutoka WB
Deni hili ni la Serikali tu, tukijumlisha na lile la Sekta Binafsi linafika Tril 98
Maelezo zaidi
View attachment 2534658
Nyinyi wenye akili kubwa na fikra tunduizi ndiyo hamtakiwi nchi hii!Swali jingine; Hii wanapoenda kukopa bila idhini yetu, Huwa wanaweka BOND au DHAMANA zipi?
Maana wanatuambia hii ni nchi MASKINI bt hapo hapo wanasema TUNAKOPESHEKA.
Hivi Kuna maskini ANAEKOPESHEKA?
Mbona mtaani maskini akienda bank kukopa pesa na Hana dhamana hutimuliwa?
Watanzania wa mitandaoni acheni wivu,nchi bado inakopesheka![emoji1787][emoji1787]Bado ni stahimilivu!
[emoji1787][emoji1787]