DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Kwanin waionye nch yetu wasiwaonye ao wengne hu ni wivu
 
Table zake kwa nchi zote duniani ziko wapi. Mimi ninajua pa kupata GDP ratio, na most likely credit rating ambazo hutofautiana kutoka agency moja hadi nyingini. Credit rating agencies popular ni Moody's, S&P, Fitch na DBRS.
Hao hakina Moddy’s et al kufikia mahitimisho wote wanatumia data za hizo frameworks kuhitimisha na ndio maana kila nchi ina Dept Management Office (DMO) kwa sababu ya kutayarisha data zinazotakiwa as required with debt analysis frameworks.

Ndio maana GDP sio kigezo kikubwa sana kwenye kufanya risk assesment ya national debt sustainability.
 
Hivi mpaka lifike trilioni ngapi ndo litakuwa si himilivu?
 

Its scary!

Kutokana na serial bad decision making of the Jiwe,uchumi utaendelea kushuka!

Possibility ya kupanda ni ngumu maana tuna decision maker asiekua capable wa ku-made right decision at any given instant!

Hii ni culmination ya one bad decision after another!

Kibaya zaidi hakuna mwenye akili ya kuweza kufanya right decision,ndio shida kubwa!

Tutalipa madeni mpaka vilembwe wetu!

We are in deep shit!
 
Vipi wadeni wake? Tumia akili kidogo,Marekani ina madeni lakini pia inazidai nchi nyingi..vipi nyie Tz mnaidai pesa nchi gani?

What is the meaning ya kusema 'tumia akili ...' Kulikuwa na ulazima wa wewe kutumia lugha hiyo uliyoitumia???!!! Una umri gani Ndugu...Kwenye mijadala huna haja ya kutumia lugha ya kejeli...Watu hutofautiana kimawazo...na huwezi kusema wale wanaotofautiana na wewe hawana akili na kwamba wewe eti ndiyo mwenye akili...hakuna kitu kama hicho...lugha yako ni ya majivuno, ubabe, dharau na kejeli, kiburi na udhalilishaji...ni lugha ya hovyo kabisa...Hata mtoto mdogo awe ni wako au siyo wako kutumia lugha ya aina hiyo ni udhalilishaji...FACT: Marekani ndilo taifa lenye deni kubwa duniani kuliko mataifa mengine yote...Linaweza kuwa ni deni la ndani...lakini issue hapa ni deni...Upende na usipende Marekani ndiyo yenye deni kubwa kuliko mataifa mengine duniani...inaweza kuwa inadaiwa na contractors wa vifaa vya jeshi na kadhalika...Kama ulikuwa hulijui hilo basi leo umefahamishwa ...Jifunze zaidi, elimu haina mwisho...na elimu siyo ugomvi....
 
Hawa mabeberu waongo sana hawa... Yatupasa kuwalaani kwa nguvu zote kwa kutubambikia deni kubwa kama hilo (alisikika mlevi mmoja akiongea pekeyake)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ah! kumbe nao wanajua deni bado ni HIMILIVU?
Waache kiherehere. Tunaingia uchumi wa kati - Tutalipa tu.
 
Utaambiwa umetumwa na mabeberu
 

Wewe ndio Benki ya dunia au!!?, mbona sioni maelezo yoyote kutoka benki hiyo.
 
Tunaangalia tu wataalamu wanatuonya. Siku tukiambiwa hatukopesheki tusishangae
Naomba tufike huko kusikokopesheka labda vichwa vitajiupdate upya
 
Team Bariadi mkuje huku kuna sisimizi inaitwa Weldi Beng ( WB) muwaloge!
 
Tuliambiwa pesa zipo ndo maana hata ndege tulinunua kwa cash, mambo ya kukopa yametoka wapi tena?
 
Tuliambiwa pesa zipo ndo maana hata ndege tulinunua kwa cash, mambo ya kukopa yametoka wapi tena?
Hata mimi niliamini deni limeishapungua sana. Ila kila siku wanakuja watu wa nje wanatushinikiza na vipesa vyao vya kubeep.

Wao kama vipi wasepe na vihela wanavyotudai wadai kwa mkupuo mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…