DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

Hizo porojo za kujifariji tu kama kitu kinafaida miaka mingi ijayo leo cha nini?
Unatakiwa uangalie the best alternative ndio maana huwa nasema kila siku somo la uchumi linatakiwa kuwa basic subject kuanzia o level hadi university kwa kozi zote at least watu wapewe basics of economics otherwise ni matumizi mabaya ya rasilimali maana best alternative ingeleta tija zaidi kuliko mradi huo wa kuusubilia huku pesa ya maintanance na kujiendesha ikiwa ruzuku.
Kwangu mimi niliyesoma uchumi hapo hamna kitu cha maana kimefanyika na ningekuwa wazuri wa fedha ningejiuzulu endapo rais angekomalia anavyotaka na hafuati ushauri wa kitaalamu
 
Mabeberu hao …..kwi kwi kwiiiiii...chiiiiiiii
 
Hahaha....Just read through what you havw written again halafu utingize kichwa,then pinch your ears
 
Hahaha....Just read through what you havw written again halafu utingize kichwa,then pinch your ears
HATA kuandika hujui kajifunze uandishi ndiyo urejee hapa.
Utingize=utingishe au utikise
havw=have
 
Watuambie na deni la marekani kwa uwiano ya idadi ya watu, ikikinganishwa na Tanzania ni ngapi, yaani Trillion 47 gawanya kwa watz miliini 55+ unapata ngapi, na kwa marekani nayo wapige hiyo hesabu ya deni gawanya kwa idadi ya watu, tuone kati ya mtz mmoja na mmarekani mmoja nani ana deni lisilohimilika. Mabeberu yanatesekana sana na Rufiji hydro power dam
 
Ndugu hii sio conundrum ya kuku na yai ni kipi kimetangulia it’s straight forward uwezi kuvutia uwekezaji wa viwanda kama auna umeme, access ya primary resources za viwandani, easy network ya kusafirisha bidhaa in and out kufikia masoko ya ndani na nje, kuwekeza kwenye miundombinu kama reli yenye kuwawezesha wafanyabiashara kuokoa gharama through economies of scale na kufanya bidhaa zako kuwa na prices ambazo zinawapa competitive edge sokoni.

I can go and on kuhusu umuhimu wa infrastructure kwenye uchumi isitoshe achilia huko tu impact zake zingine muhimu zipo kwenye social geography na jinsi zinavyo badilisha dynamics za demography za sehemu mbali mbali kwa namna nyingi mno.

Sasa wewe unataka serikari iwekeze kwenye cost centres kama jela ambazo asilimia kubwa ya wafungwa huko ni zao la watu waliokuwa idle mtaani.

Serikari itatoa wapi hela za kuendesha jela na kuwatunza wafungwa bila ya kuchochea njia za mapato au hata itapunguza vipi uhalifu bila kuweka mikakati yakukuza ajira na kupunguza idadi ya vijana wasio na shughuli mtaani?
 
Turkana is a Desert unlike Bukoba. Thought you should know that.

I fail to understand how such a great place as Bukoba would experience such magnitude of hunger but it is totally understandable of Turkana and the likes since they grow no food and the place is extremely dry and arid. Haya SI mambo utayasikia Kisii, Mombasa, Taita, Muranga, Rift valley ya Kati bali ni huko pande za Kaskazini Kenya where man cannot change the Natural weather patterns so I still fail to understand how Tz faces hunger and malnutrition problems having a vast arable rain fed fertile land from North to South? Huoni si pande ya chakula peke yake mnakofeli bali hata pande ya madini, elimu,uchumi, Umasikini,afya na michezo Kama vile kuwatandika Taifa Stars Kama kawaida pia. Kitu kimoja mnatushinda ni mdomo tu.
 
You are blabbering too much.
28 july we gonaa meet again Tanzania vs Harambee stars finding a ticket to chan tournaments.
Then there is no a nation which is 100% secure from hunger.
That's why in Tanzania just some people face hunger but no famine like Kenya.
If you are a greatest economy over East and Central Africa you could take measures of fighting against disasters.
Like establishing or implementing advanced agriculture on desert areas like the way Qatar and Egypt does.
But because you don't have the ability just stay silent.
Egypt is more than 70% total arid not like kenya semi-arid but no famine over there.
You will never see or hear someone died because of hunger in Tanzania.
But you might hear that some people experienced short term hunger.
Can you see some difference again??
Then nyie mchezo wa ngumi still bado hamtuwezi hata kijeshi pia.
So stay silent.
 
watutolee ushuzi wao
 
Musiba njoo huku benki ya dunia wamekuja!!!. Akina Kinana, Nape na Membe wanaitumia benki ya dunia kuichafua serikali tukufu ya rais wa wanyonge. Benki ya dunia iache mara moja tabia za kuichonganisha serikali na wananchi.
Mkuu,
Sasa uangalie tusijepata dukuzi zako, maongezi n.k
Uthubutu huo lazima utoke juu manake au sehemu zisizojulikana ww!
Wana chama cha "mapinduzi", naamekua mstari wa mbele kuleta hayo "mapinduzi" na "uhuru" na mpaka "Ukombozi" kutoka kwa mabeberu, kwa hakika hayo hayawezwi kupingwa na Mwafrika yeyote yule anayejua siasa za Tanzania na Chama kinacho-tawala.

Sasa siasa za kejeli, haswa, kejeli na ubabe-egoism. Tanazania na watu wake, wengi wakiwa wamepigwa butwaa na mlolongo wa "...sintofahamu..." kwa yote yanayoendelea ... mambo ya " Ukombozi" yanawapiga chenga bado... manake mnyonyoro wa uchumi mpini wanao hao WB
Mwanahakati huyo hana uthubutu au jeuri ya kufanya hivyo, ni "mnyonge" "miguu imejaa matope" na hawezi kufanya hivyo kwani yeye sio CCM au Sirikali yake.

Hizi taarifa, aidha iwe ni kwaajili ya kwao, au ya kuchonganisha kadamnasi, lolote lile Ukweli Uwongo kuna ukweli na kila Mtanzania alichukue hili kwa tahadhari na kulitafakari sana.
 
Kama nilivyo sema hapo juu, Tz haifai kukumbwa na njaa wala utapiamlo unlike Arid Turkana. So hio tayari inaonyesha udhaifu na umaskini wenu.

Huwezi ukalinganisha Egypt na Kenya. All Cities and human habitation have been along the mighty Nile for thousands of Centuries. Northern Kenya has seosonal or non existent rivers.

Mchezo wa dondi tushanyakua dhahabu je nyinyi?

Kijeshi pia tuko ranked juu yenu Kama kawaida so bisha na stats afu tuko Somalia nyie hampo kwa uoga.

Mchezo mnaitushinda ni wa mdomo tu. Nionyeshe Jambo moja mnalotushinda hata moja using statistics sio mdomo tafadhali. Povu ruksa.
 
Mbona kila wakati tunaambiwa kwamba mapato ya taifa linaongezeka?, mbona zito akiongea haya anapingwa na kuonekana anafanya siasa? Je hawa wb ni chama gn hapa Tz ?' afu ni vzr hbr hz ziwe zinatoka live pale magogoni.
 
Yani deni la nje la Tz limefika $21B. Na jamaa bado wanatuambia kila siku eti wanatumia hela zao za ndani!!!

Kenya nchi ya madeni external debt yake ni $24.9B , hii ni baada ya kujenga projects kubwa kubwa kama SGR, Upanuzi wa bandari... kwa mikopo ya nje , inakuaje deni letu la nje ni sawia na deni la nje la Tz ilhali Tz hua inajenga project zake kubwa kubwa na "hela za ndani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…