joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unajua maana ya uchumi bora?, mwenye uchumi mkubwa ni yule ambaye kipato chaki kinachobaki baada ya kutenga matumizi ya misingi(yakiwemo madeni), ni kikubwa.Mbona uchumi wao huulinganishi, linganisha basi tukuelewe vizuri, msomi wetu
Mkuu mimi nimetoa mfano rahisi sana wa ufafanuzi kuwa unaweza kuwa unadaiwa kidogo lakini wewe ni masikini sana na mwenzako akawa anadaiwa mara mbili yako lakini ukilinganisha hicho anachodaiwa bado yupo juu kiuchumi kuliko wewe unayedaiwa kidogo. Soma tena sijazungumzia maghorofa na magari ya Kenya hapo na hakuna neno Kenya kwenye maelezo yangu nimetumia mfano wa watu wawili ili kuonesha kuwa kudaiwa mara mbili haina maana ndio mtu ana matatizo zaidi kuliko anayedaiwa mara mojaHivi hayo magorofa na magari ya wakenya unayoya brand ww unafikiri ni ya wakenya, hapo kuna ukoko Wa manyang'au makoloni yameshikilia uchumi, Kenya zimejaa slums za kutosha hafu unatuambia kila mtu anaghorofa ya kwenda wapi
[emoji849][emoji849][emoji849] siri kivip? umesahau Kuwa wanao tudai ndio wanatoa dataDeni la nje la Tanzania hadi sasa ni siri, je, umelinganishaje na deni la Kenya ikiwa la Tanzania ni siri
Wewe akili zako zipo kwapani, hata kama ni necessity lazima uwe na uwezo wa kununua, vipi Kenya gari iwe ni necessity wakati millions of you mnaishi katika Slums, hamna chakula cha kutosha, maji ni mgao.
Huwezi kusema gari ni necessity wakati zaidi ya 78% Nairobians wanaishi katika rented houses ambazo zinamilikiwa na watu wachache. Ninyi wakenya mna matatizo ya kupanga priorities, ona sasa deni la Taifa Leo limefikia 75% na bado mpo na njaa, slums, inflation is rising.
Watanzania wengine sijui wana shida gani aiseee..Nimefuatilia kwa umakini mijadala pamoja na namna threader alivyopresent mada na kama ni wale wanazi tunaowajua lakini nimeona hana kosa linalostahili hii hasira yako juu yake.
Nimeona ameripoti kama kilivyo kutoka kwenye source kwenye link hajaongeza wala hajapunguza jambo
Punguza stress ndugu jadili kwa mantiki sio personal attack.
Kenya ina export bidhaa nyingi kuliko tz????..hivi unachokiposti unakijua vizuri??Nano kazungumzia exchange rate? Kenya ina export bidhaa nyingi sana tofauti na Tanzania ila sababu ni mbishi ngoja nikubali kwamba uchumi wa Kenya na Tanzania upo sawa
Toka hapa we si mganda,wewe mkenya..Hahaaa am really enjoying this mdahalo mannnn. Tz imesamehewa deni Mara mbili ilhali Kenya haijawahi samehewa deni lolote. Pambaneni na hali yenu Kenya hamuiwezi. We know Kenya is in a debt crisis right now but we as Ugandans will stand by them although they tried to interfere with our internal affairs I mean politics.
Kaka umesoma statistics japo kidogo?, hili deni limetolewa as percentage ya kipato cha nchi, sasa wewe hii habari ya kudaiwa kidogo lakini masikini inakujaje?.Mkuu mimi nimetoa mfano rahisi sana wa ufafanuzi kuwa unaweza kuwa unadaiwa kidogo lakini wewe ni masikini sana na mwenzako akawa anadaiwa mara mbili yako lakini ukilinganisha hicho anachodaiwa bado yupo juu kiuchumi kuliko wewe unayedaiwa kidogo. Soma tena sijazungumzia maghorofa na magari ya Kenya hapo na hakuna neno Kenya kwenye maelezo yangu nimetumia mfano wa watu wawili ili kuonesha kuwa kudaiwa mara mbili haina maana ndio mtu ana matatizo zaidi kuliko anayedaiwa mara moja
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
World Bank imetoa data zinazoonyesha kwamba population below poverty line Tanzania ni 26.7%, Kenya ni 42%, wewe hizo data zako umezitoa Kibera?, acha kupiga domo lete data za UN. Unajua maana ya inclusive index in Economics?, hiyo ndio inayoelezea kwanini wakenya wengi ni masikini kuliko Tanzania, Tafadhali support your argument by credible references acha kutumia mawazo yako vile mlivyojazwa ujinga na media zenu.Millions of Kenyans are poor. But more Tanzanians are poorer. Nini ngumu ya kuelewa hapo?
The same way, more Kenyans are richer than Tanzanians. Ndio maana more Kenyans can afford cars than Tanzanians.
By the way over 70% of Kenyans live in their own homes. That's because most Kenyans live in rural areas.
Lakini ukija kwa cities, there are more renters than home owners. Hata New York ni the same story.
Kenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP reportMillions of Kenyans are poor. But more Tanzanians are poorer. Nini ngumu ya kuelewa hapo?
The same way, more Kenyans are richer than Tanzanians. Ndio maana more Kenyans can afford cars than Tanzanians.
By the way over 70% of Kenyans live in their own homes. That's because most Kenyans live in rural areas.
Lakini ukija kwa cities, there are more renters than home owners. Hata New York ni the same story.
World Bank imetoa data zinazoonyesha kwamba population below poverty line Tanzania ni 26.7%, Kenya ni 42%, wewe hizo data zako umezitoa Kibera?, acha kupiga domo lete data za UN. Unajua maana ya inclusive index in Economics?, hiyo ndio inayoelezea kwanini wakenya wengi ni masikini kuliko Tanzania, Tafadhali support your argument by credible references acha kutumia mawazo yako vile mlivyojazwa ujinga na media zenu.
Ukweli hauupendi wewe. Tanzania is the poorest country in East and central Africa. Furthermore, there is no way a lower middle income country can have more poor citizens than elodisi countryKenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP report
Katika hali hii bado unasema Kenyans are richer, huo utajiri wanatoa wapi wakati hawana kazi za kuwaingizia kipato?, acha kupelekwa na hisia, majority of Kenyans are very poor compared to Tanzanians
Kenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP report
Katika hali hii bado unasema Kenyans are richer, huo utajiri wanatoa wapi wakati hawana kazi za kuwaingizia kipato?, acha kupelekwa na hisia, majority of Kenyans are very poor compared to Tanzanians
World Bank imetoa data zinazoonyesha kwamba population below poverty line Tanzania ni 26.7%, Kenya ni 42%, wewe hizo data zako umezitoa Kibera?, acha kupiga domo lete data za UN. Unajua maana ya inclusive index in Economics?, hiyo ndio inayoelezea kwanini wakenya wengi ni masikini kuliko Tanzania, Tafadhali support your argument by credible references acha kutumia mawazo yako vile mlivyojazwa ujinga na media zenu.
Kenya has the highest rate of unemployment in East Africa - UNDP report
Katika hali hii bado unasema Kenyans are richer, huo utajiri wanatoa wapi wakati hawana kazi za kuwaingizia kipato?, acha kupelekwa na hisia, majority of Kenyans are very poor compared to Tanzanians
Tanzagiza inamenyana na kina Haiti na Yemen nchi za natural disasters na vita.
Tatizo lenu ni akili ndogo, unadhani duniani tunaishi kwa akili za vijiweni kama ninyi, hii ni ripoti ya WB ya 2015 inaonyesha watanzania below poverty line ni 28%Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania EmergesKenya tumekwambia mara mingi kwamba wauza makaa, njugu na wachoma mahindi hawahesabiwi kama 'employed'. Lakini ukweli ni kwamba wanapata pesa kwa kazi zao.
Kupima utajiri ni very easy.
Kama unasema watanzania ni tajiri kuliko wakenya, kwanini hamna material possessions mingi kama wakenya.
Gari zilizo barabarani Kenya ni mingi. Electronics tunazoimport ni mingi. nk.
Pesa yenu mnapeleka wapi?
Acha kutumia report za zamani, from unreliable sources, tumia IMF na WB ndio wenye last say. Soma vizuri hii report ya WB ya 2017 na ulinganishe na report ya WB ya Kenya ya 2017.
Tatizo lenu ni akili ndogo, unadhani duniani tunaishi kwa akili za vijiweni kama ninyi, hii ni ripoti ya WB ya 2015 inaonyesha watanzania below poverty line ni 28%Tanzania Mainland Poverty Assessment: A New Picture of Growth for Tanzania Emerges
Ninakuleta ya 2018 uone Uchumi wa Tanzania unavyokwenda vizuri.
Acha argument za vijiweni zisizo na reference badala yake unatumia maneno ya mitaani, lete report inayoonyesha wakenya wana posses materials zaidi ya watanzania.
OverviewUkweli hauupendi wewe. Tanzania is the poorest country in East and central Africa. Furthermore, there is no way a lower middle income country can have more poor citizens than elodisi country