Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

CCM ni chama janja janja sana. Deni linazidi kupaa halafu tunaambiwa miradi yote mikubwa inatumia fedha za ndani na zinazotokana na makusanyo ya TRA!!

Wizi mtupu!! Miaka mitano hakuna kupanda madaraja wala nyongeza ya mishahara.
Ndiyo uukubali ule msemo wa JK kuwa 'Za kuambiwa changanya na zako'.
Tatizo watz ni wabishi kwa jambo wasilolifahamu vizuri, tuna tabia ya kukuripuka halafu tukingatwa tu naanza kulalamika.
Mitano tena tafadhali ili somo lieleweke vizuri.
 
Ni lazima wapunguze gharama za matumizi, hata hilo bunge futilia mbali wabunge wa viti maalumu hawana mchango wowote zaidi kuimba ngonjera, unataka ubunge kagombee huwezi acha. Kwa hali hii wafanyakazi wasahau kupandishwa mishahara. Ndio maana miradi yote siku hizi wajenzi wanajeshi na chanjo tusahau pesa hakuna.
 
Kati ya kiasi hicho, deni la ndani limefikia Sh. trilioni 16.2 na deni la nje Sh. trilioni 42.8. Ongezeko la deni limetokana na ukopaji kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Jamani naomba msitupigie kelele maana miradi tunatekeleza kwa fedha yetu ya ndani!
 
Huu ni uongo deni la Taifa (ndani na nje ya nchi) liko zaidi ya 70 trillions, hivyo walimepunguza makusudi ili kutuzuga Watanzania.
 
Hakuna jema lolote kukopa kwa ajili ya miradi ambayo haina tija yoyote kwa Watanzania (white elephants)
Ukikopa fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo hili ni jema sana mbaya ni kukopa pesa kwa ajili ya kulipa mishahara.
 
Saikatriki kesi mpaka akatoke atakuwa ameisambaratisha hii nchi vibaya sana .
 
Unampa sifa za kumdhihaki. Hana lolote,ndiyo maana hapo alipo anatumia dawa za mabeberu.By the way, you are out of point.
 
"Kadeni himilivu" alisikika MATAGA ambaye amelima ila hajapata soko
 
labstechs toka nchi mbali mbali.

Nampa heko mkemia magufuli lets wait no hurry acha wengine wajaribiwe kwanza
Wewe ni mtaalam wa kitu gani? Huna unalojua kwa haya uliyoandika hapa.

Kwanza mada iliyopo haihusiani kabisa na ulichoandika. Inawezekana hata kusoma na kuelewa ni kwa taabu sana kwako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…