Deni la Taifa laongezeka kwa asilimia 7.6 ndani ya mwaka. Chanzo ni ukopaji wa fedha kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo

Kipande cha Dar-Moro kilikuwa kiishe Nov 2019 corona ilikuwa bado, tafuta upotoshaji mwingine.
Tatizo chadema hamjawahi kuwa na mradi wowote wa ujenzi makao makuu tu mnapanga mradi wa ujenzi kuchelewa hasa miundo mbinu ni kawaida sana mfano mvua kubwa zikinyesha mkandarasi husimama kujenga ndio maana mikataba yote huwa na kipengele cha kusema ikiwa conditions zote zitakuwa costant mradi utaisha muda huu.Kwa hiyo kwa uelewa wako mdogo ukiambiwa barabara itajengwa miaka mitatu ikajengwa miaka mitano kwako tatizo linakuwa malipo?

mfano mzuri Chadema iliajiri wafanyakazi wake kama madereva nk kwa mikataba ya kudumu wakikenua meno kwa ruzuku kubwa waliyokuwa wakipata sasa ruzku imeshuka wanapunguza wafanyakazi conditions hazijabaki the same !!! huwezi tu kukomaa kuwa ohhh si mlisema permanent!!! wewe mwenyewe kibarua chako chadema kiko hatarini .Wakishamaliza kupunguza sababu na wewe umo kwenye timu ya nani aondoke lakini nakupa siri ukishamaliza hilo zoezi wanakaa wanakutoa na wewe
 

Yote uliyosema hapa ni kweli, ila bado hujajibu ni wapi 10t ya mkopo imeenda. Na sio kwamba umechomeka hiyo mada sijui ya madereva wa cdm kwa bahati mbaya, ila ukweli ni kuwa mada imekuwa nzito. Sasa namna pekee ni kutafuta njia rahisi ya kuchomoka. Nasema hivi, sema mahali huyu mlevi wa madaraka kapeleka 10t fullstop.
 
Nimemuuliza makusudi hao ndio wanaotuaminisha kwamba awamu ya tano watanzania wanaishi vizuri na mzunguko wa fedha uko vizuri kuliko awamu zote
Ukiwa empty set ni ngumu, kulijua hilo!!kwani hata kama ni wewe ni kula kulala lazima tu ungeshajua jibu!!
 
ndio hata ukikopa utalipa kwa pesa zako kwani wztakulipia?
Acha ukiazi ww tumesema tunajenga kwa fedha za ndani......mumeo anapata shida sana na ww....mwanamke huelewi kama kiazi kibovu
 
Mtuambie mmekusanya asilimia ngapi ya bajeti mpaka sasa ili tuelewe, mbona mna rukaruka mnaficha tuuuuuu
 
Hii kitu uliyoandika hapa ina ukweli, ila usiojitosheleza, umeulizwa vipi SGR haijakamilika ukajibu sababu ni Corona, sasa kwa hayo maelezo yako utuambie je, Corona ndio ilimaliza nguvu kazi ya kujenga huo mradi? au kile kipindi cha mashule, viwanda, na ofisi nyingine kufungwa sababu ya Corona kilikuwa miezi mitatu, unataka kusema hicho kipindi ndio kilisababisha SGR iwe haijakamilika mpaka leo?

Pamoja na maelezo yako mazuri, lakini bado unatakiwa urudie kujibu swali uliloulizwa mwanzo, kwanini SGR bado haijakamilika mpaka leo wakati pesa za ndani zipo?
 
Ndio maana wakafanya mbinu za kumuondoa Dr. Assad kama Controller and Auditor General kwani alikuwa anawawekea kiwingu kwenye ulaji wao kwa kuwauliza maswali magumu!!!!
Miradi haifiki mwisho mzee anapiga haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…