Deo Kisandu kafungwa jela?

Na hapo ukute mama alikua anamtegemea kijana.
 
Ni yule jamaa aliyetulitea nyimbo yake ameweka na X humohumo..
Yule hakuwa mzima kabisa.
 
Hakika mkuu, tatizo hospital zetu kitengo cha afya ya akili kimekua badged kama, wodi ya vichaa, na wataalamu wake, madaktari wa vichaa, ukifika hujui hali imeshakua critical na ni ngumu kwenda huko kwaajili ya consultations, nilifurahi kuona makampuni makubwa wamechukulia serious sana hii kitu hadi kuna, scheduled na walk in consultations kwaajili ya mental well-being, wanakwambia kwa kiwango kikubwa wao kama makampuni hii pia imeongeza productivity kutoka kwa wafanyakazi.
 
Hio ni kweli mkuu na hivi vitu inatakiwa tuanzie kwenye level ya familia mkuu

Sio kila kichaa lazima awe na fuko la takataka ama kuwa mchafu
 
kichaa anapewa kesi ila aliyetuita mbwa anasifiwa kugawa majina
 
Huyu si akikua na matatizo ya akili? Na case yake ilipelekwa Mirembee?

Hiyo hukumu ya miaka 7 jela imekuajee tenaa? Lol
 
Hili jina siyo la yule DC wa Morogoro?
 
Yupo jela ya Kilago hapo Kahama
 
Mirembe walimclear kua Hana tatizo la akili
Tanzania hakuna kipimo Cha akili. Hata mahakamani hutumia objective tests ambazo kwangu sio sahihi eti anahojiwa maswali au kuangalia series za vitendo kujua kuwa alikuwa anajua anachokifanya. Akili ilivyatuka haimaanishi unapoteza kumbukumbu au huwezi kutoa rational answers kwa maswali unayoulizwa. Wengine akili huchangamka zaidi na kumbukumbu kuwa karibu zaidi kuliko mtu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…