Deo Kisandu kafungwa jela?

Mim mpaka leo sijaelewa huyo jamaa DON alikuwa anaandikaga vitu vya ajabu ajabu afu watu wakawa wanafatilia nyuzi zake kuliko hata wanavyotembelea nyuzi za GENTAMYCINE

Niliwah mfatilia mpaka youtube maana nilishangaa mimi ni mdau wa mziki iweje tz kuwe na msanii mkubwa afu nisimjue
 
Lakini kwa nini mama yake aruhusu kijana ahukumiwe angeweza kusema asamehewe,huyo mama huenda kweli ni mchawi kamwalibia kijana wake maisha maana mzazi mchawi wa kike haiwezi kutokea wakaelewana na mama yake labda kijana apokee uchawi.
 
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naunga mkono hoja
 
Sheria si hua haiamini Uchawi? Ikawaje akafungwa miaka 7 kwa kumtuhumu Mama yake kua ni mchawi?

Wanasheria labda mtueleweshe hapa.
Watu washasema alikuwa na dalili zote za kudata... Huenda alipayuka mahakamani na kuanza kutoa maneno ya hovyo na utovu wa nidhamu kwa Mama yake, Mahakama kwa ujumla, polisi, hakimu, wasikilizaji... Ikawa tafran pale... Mahakimu na majaji nao hawachelewi, wakaamua zao kugonga kinyundo wakampiga nyundo saba papo hapo. Hawakuona kama kuna haja ya ku-deal na kichaa tena, akadate jela vizuri ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ‘
 
mzee wa go away. alikuwa ana rap kiinglishi na kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ