Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria inautambua uchawi mkuu. Kuna witchcraft act ndio alishtakiwa nayoSheria si hua haiamini Uchawi? Ikawaje akafungwa miaka 7 kwa kumtuhumu Mama yake kua ni mchawi?
Wanasheria labda mtueleweshe hapa.
Dead!Kuna member alifungua thread kuulizia lakini hakuna jibu la maana alilopata.
Yupo wapi Deogratias Kisandu
Wakuu. Nimemkumbuka Sana huyu mwamba,,. Nina muda mrefu sijamuona jamvini .. Mwenye taarifa zake tafadhari.www.jamiiforums.com
Dead. Ukiweza mfuate ukampe hiWakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.
Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Wakuu, kwema?
Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la kumtukana mama yake kuwa ni mchawi baada ya kukatazwa kuuza kitanda alipo kuwa akiishi na mama yake kahama.
Natamani nikamsalimie, naomba mwenye taarifa za magereza aliopo atujuze.
Hii hukumu kapewa 2022. Alifariki magereza??Dead!
Tulijibiwa humu kuwa alifariki na kuzikwa MwanzaHii hukumu kapewa 2022. Alifariki magereza??
Kwamba mwamba kafa?Tulijibiwa humu kuwa alifariki na kuzikwa Mwanza
Alifukuzwa kazi mwaka 2017 nadhani na akashtakiwa kutukana mtandaoni Facebook, akafungwa miaka mitatu, 2020 alitoka ndio kafungwa tena 2022 miaka Saba kwa kumtangaza mama yake mchawi baada ya kikatazwa kuuza kitanda alocho kua analalia kwa mama yakeNenda buhongwa sec ukamuulizie make alikuwa anafundisha pale
Unamchokoza mjukuu wa Paul Kagame GENTAMYCINE 😂😂😂Tuangalie namna ya kumsaidia na pia tumweke karibu member Lucas Mwashambwa na GENTAMYCINE hawa nao wanaelekea huko, kinga ni bora kuliko tiba.
Mental illness is real mkuuUnamchokoza mjukuu wa Paul Kagame GENTAMYCINE 😂😂😂
I real second you brother. Natamani hata wanasheria wetu humu wangejitoa kumsaidia. Yule ndugu anahitaji matibabu ya akili, angekaa sawa kabisaMental health is real ,mimi naona aliyetoa hukumu na yeye ana matatizo ya afya ya akili kuliko hata Deo...Deo Kisandu aka Don Namilison aka Civilian Coin ana matatizo ya afya ya akili kwa muda mrefu.
Wadau wameshauri ilitakiwa apelekwe mirembe kwa matibabu zaidi ,kwa yeye naona wangempeleka mirembe angepona na kukaa sawa akitumia dawa.
Inasikitisha sana ,mimi namjua jamaa mmoja alipata tatizo la afya ya akili ila kwasasa amepona na yupo sawa anafanya kazi serikalini,ndugu wa Deo wakate rufaa kwamba ndugu yao mgonjwa na atolewe Chechela sege dansi nondo gereza inside ndichi ngome lupango na apelekwe mirembe kwa matibabu.
Sasa ukiwataja hapa na kama Wana matatizo ya akili kweli si ndio watakuja kuporomosha matusi na kuharibu uzi wenyewe😂😂😂Tuangalie namna ya kumsaidia na pia tumweke karibu member Lucas Mwashambwa na GENTAMYCINE hawa nao wanaelekea huko, kinga ni bora kuliko tiba.
😂😂 Watakua wameprove wanahitaji TibaSasa ukiwataja hapa na kama Wana matatizo ya akili kweli si ndio watakuja kuporomosha matusi na kuharibu uzi wenyewe😂😂😂
Watu hawajalitambua hili suala kwa ukubwa wakeMental illness is real mkuu