Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

Kwani huyu mbunge Hana ya kuongea kuhusu Jimbo lake?

Kwa akili yake anategemea anaweza kupewa uwaziri?

Huyu si chini kidogo ya Taletale.
 
Nothing could I say the way president #SSH led Tanzania,its so amaizing,the country goes well,its personality came in massively once again, so that it's tough to explain what I can say we american ppls admire the way she led that nation excellency.
Mungu wangu!! "...so that it's tough to explain... we americans ppls... she led that nation exellency" - a Tanzanian illiterate impersonating an American, admiring a Tanzanian female ruler! Balderdash...
Hivi, waTz tumelogwa na nani!?
 
Hii Sasa Kali, inamaana Kila aliyewahi kuwa rais wa nchi hii ni chaguo la mungu!?.
 
Kipindi cha Magu alisema aongoze hadi achoke Magufuli

Sasa Samia kama ni chaguo la Mungu ikiwa Magufuli hayupo, Deo mkiwa faragha atamsema vibaya Magufuli.

Njombe Kaskazini hakuna vijana wasomi 2025.Au wote ni chawa wa Deo
Kwa mfumo zuzu, ni lazima upate BUNGEZUZU.
Mchujo unaanzia ndani ya chama, kwa 'wajumbe'. Mazuzu hayo ndio yanasukumiwa bungeni na ma DED,NECCM, na Policcm.
 
Back
Top Bottom