Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

Deo Sanga akiri Rais Samia ni chaguo la Mungu mwenyewe

Mzee Deo mimi nina mawili tu, Moja kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba kumpoteza Magu ilikuwa mpango mzuri wa Mungu ili Samia liwe chaguo jipya?

Pili, Vipi kwenye kundi la kumuongezea muda mzee baba mbona na wewe ulikuwemo? ufafanuzi tafadhali.
 
Huyo Sanga ni Mtume au Nabii ?

Anyway kama Imani yake ndivyo inavyomtuma ana kila Haki ya Kuamini anachokiamini..., ila sio kutaka kuwaaminisha / au kuwaona hawafai wanaoamini vingine
 
Ndiyo Mazuzu Yenyewe Hayo Yaliyojaa Kwenye Bonge
 
Back
Top Bottom