Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

YAMETIMIA, soma mstari wa mwisho hapo juu
 
Nadhani hii hoja imekufa kifo cha kawaida; ila kwa speed waliyokuwa nao hawa ndugu ilikuwa siyo rahisi kuizuia. Haya kazi iendelee sasa!
 
 
Nyerere alisema tuna Maadui watatu ila mimi nasema huyo mmoja UJINGA ndio Kiongozi wa Maadui wengine.
 
Huyu arudi bungeni 2025 walizoea kupita bila kupingwa
 
Na "sisi" tunasema kwa kuwa amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais, tunataka aongezewe muda wa kuishi hata kama hatma yake imefika, tusikubali aondoke na kutuacha yatima.
[emoji16][emoji16][emoji16]mbona mara ukawa yatima tena
 
Walikula ya mbuzi sasa wameoteshwa mapembe pumbavu zao. Haya wakamuongezee huo muda sasa! Mimi nilijua wana uwezo wa kushikilia pumzi yake ili isitoke kumbe vipimbi tuu!
 
Juma Nkamia ni fungu la kukosa. Ametoka kakosa Ubunge pamoja na kujifanya kumwabudu Mwendazake. Akaja Simba kugombea Uwenyekiti akapigwa chini na Mangungu
Fuatilieni. Huko aliko atakuwa taabani. Mnafiki unaweza kupata mafanikio ya kipindi, lakini siyo ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…