Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

10 inamtosha japo tunaenda nayo kwa maumivu kwani watu wameisha wakushika madaraka?
 
Duuu kumekucha,hapa sound bado haijafunguliwa mpaka mwisho, ifikapo mwakani tarajieni sauti za mambo kama haya kutokea kila pembe na zenye muungurumo mkali na Wa juu sana. Mwaka keshokutwa tunarudisha mpira kwa raia kisha inachukuliwa inawekwa WAAAAH!!
 
Ukifuatilia wabunge woote wanao ongea huo upuuzi ni wale wasiyo na Elimu.

Hapo ndiyo ukomo wao wa kufikiria maana kitu katiba kichwani mwao hakipo
 
Kwa sasa ni sawa na vikao vya halmashauri kuu ya ccm
 
Ally Kessy Ndiyo Kamuachia Majukumu Hayo
Mambo Ya Ccm Ni Magumu Yanatia Kinyaa!![emoji57][emoji57]
Alafu fuatilia wote hao hata kuandika majina yao hawawezi
 
Haya na tumwite mfalme
 
Na ndicho alichokuwa anakitaka mfalme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…