Yule hata siyo wa kupoteza muda kujadili kauli yake. Mtu ambaye hata kuandika tu ni shida, na alipelekwa shule, nadhani hiyo inathibitosha kuwa hafundishiki, na watu wasiofundishika ni wale wenye low IQ.MBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Na hoja kama hizo kwanza wanaachiwa wale wabunge wajinga kabisa. Hapo atakayekuja kukoleza hoja ni Lusinde na Musukuma.Ally Kessy Ndiyo Kamuachia Majukumu Hayo
Mambo Ya Ccm Ni Magumu Yanatia Kinyaa!![emoji57][emoji57]
Milele na milele[emoji849]Wale wa mitano tena [emoji2772]sasa hivi tuweke kauli mbiu gani jamani[emoji849][emoji849]
Mipango haramu imeanza!
Hakuna tatizo aongezewe tu ili mambo mazuri yakamilike.Mimi naamini siku raisi wetu atakapomaliza muda wake tutatamani aendeleeMBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Wewe nani kakutuma?Katumwa huyo.
Mwili na akili mara nyingi huwa inversely proportional!Jamaa anamwili mkubwa ila akili nukta.
Na hiko kitu kikitokea lazima watakula sahani moja na weweKuna kitu kitatokea kabla ya 2023, sisi tupige magoti tuzidi kuomba.
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais
-
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha
-
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka akisema hata #China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Mambo yameanza kuumana`
"Rais wetu Dkt. Magufuli amefanya kazi kubwa, ombi langu hapa ndani atake asitake tumuongezee muda ili aweze kufanya kazi yake vizuri ili mipango aliyoipanga ikamilike, nilisema kipindi fulani hata China walifanya hivyo si dhambi kumuongezea anayefanya vizuri" - Deo Sanga
#Bungeni
View attachment 1693592
Kumekucha sasa lile bunge la kijani linaanza kazi waliyoipigania .
Haina shida, alimradi nitakuwa nimewasaidia WatanzaniaNa hiko kitu kikitokea lazima watakula sahani moja na wewe