Yule hata siyo wa kupoteza muda kujadili kauli yake. Mtu ambaye hata kuandika tu ni shida, na alipelekwa shule, nadhani hiyo inathibitosha kuwa hafundishiki, na watu wasiofundishika ni wale wenye low IQ.MBUNGE WA MAKAMBAKO AT
Mbunge wa Makambako, Deo Sanga amesema Rais Magufuli amefanya kazi kubwa katika nafasi yake ya Urais.
Ametoa ombi la kuongezewa muda wa kubaki madarakani kama Rais ili mipango anayoendelea nayo aweze kuikamilisha.
Ameomba aongezewe muda hata kama asipotaka. Amesema hata China waliwahi kufanya hivyo kipindi fulani katika historia.
Sent using Jamii Forums mobile app