Deo Sanga aomba Rais Magufuli aongezewe muda hata asipotaka

Siwezi kuja kusema wakati najua hataki nimeongea nae mara kwa mara hayuko tayari kwa hiyo jinai ya kuvunja katiba!
Kwa taarifa yako Magufuli anataka sana kuendelea kukaa madarakani, ila anajua wengi hawatakubali, anachofanya ni kuwatumia hao vibaraka wake. Utakuja kusema hapa.
 

Hata sura yake ina mshitaki, empty headed
 
Unategemea nini kutoka kwa Mbunge wa darasa la saba aliyepata mali yake kwa ujangili na uchawi wa MWAKIPANDE?
Deo Sanga hakufika darasa la 7. Ameishia darasa la 2. Ukiona anavyoandika jina lake tu, huwezi kuamini hata anaweza kuwa Mwenyekiti wa Kijiji! Wizi ulimsaidia akapata hela. Na CCM, ukiwa na hela unaweza kupata cheo chochote alimradi uwe tayari kuwapa wabunge bahasha nene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndiyo sababu kubwa ya kukusanya wawakilishi wa NEC CCM kule Dodoma
 
Hii mikakat ya kaul mbiu ilianza muda , nazn Kuna wakat wajumbe wataifanya Ajend na kuptsha

Muda ni Rafk mwema kwa ukweli
 
Safi sana kumbe kuna watu wanaona mbali japo katiba hairuhusu lakin si ni sisintulioitunga aongezewe tu
Kwani ni watu wachache wenye kaliba yake
 
Bangi tu zinamsumbua
 
Nilikuwa nawa"mark" wabunge wa 2020 2025 waliotoa kauli hiyo huyu wa pili , wa kwanza alikuwa Katambi

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
Katambi yule muunga juhudi?!!! Oops makubwa!! Anyway lazima asujudu kwa JPM kwani amemsadia kwa kumuondoa Masele ambaye ndo aliongoza kura za maoni akapewa yeye aliyeshika nafasi ya 12
 
Mkutano wa kwanza tu tayari analeta ushuzi badala ya hoja za kuwasadia wananchi wa Makambako. Duh!
 
Mbona anaongea huku ameinamisha sura anaona aibu ya nini?
 
Hilo jamaa nimelishangaa sana.

Jitu zima eti linaitwa Jah people.
 
Huyu ni mjinga.

Apige chini na hii hoja yake, [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…