ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
- Thread starter
- #121
Ya nini? Unachukua Malaya wa bar unasema shemeji?Nikutumie picha ya shemeji yako 😂😂😂😂
Ya nini? Unachukua Malaya wa bar unasema shemeji?Nikutumie picha ya shemeji yako 😂😂😂😂
Basi endelea na makasiriko yakoYa nini? Unachukua Malaya wa bar unasema shemeji?
Nimeona madereva bodaboda wengi,wamenunua Toyo za miguu mitatu,na wamejenga nyumba za maana.Watumishi wa Umma ni kundi la watu Maskini wanaojitahidi sana kuficha Hali Yao Kwa kupasi nguo..
Dereva Bajaji anaepeleka hesabu ya 20,000 Kwa boss wake ana maisha Mazuri kushinda Watumishi karibia robo tatu wa Umma.
Dereva Bajaji akikosa sana Kwa siku baada ya kutoa ya boss ni anabakiwa na 30,000-40,000 take home ambayo ni sio chini ya 1,000,000 on average hapo hana gharama za usafiri Kwa familia yake au kwenye mishe zake maana atatumia hiyo hiyo bajaji ya boss..
Ni Watumishi wangapi wa Umma wanapata milioni Moja Kwa mwezi hata wakiwa na hizo posho? Binafsi ni mtumishi wa Umma naongea ambacho Nina uhakika nacho.Hata Mimi mwenyewe hiyo take home ya milioni Moja naiona kwenye basic tuu sio take home,Laiti ningekuwa nafanya kazi sehemu ambayo Haina posho ningeadhirika,huu ndio ukweli.
Sasa chukukia Watumishi wengi wa Umma pamoja na Mishahara midogo Kuna wanapata posho ila unakuta posho zenyewe hazifiki hata Laki 5 Kwa mwezi,huyu atachaje kuwa na maisha magumu sawa na bodaboda?
Kwa dereva Bajaji yeye alifanya kazi miaka 2 tuu ananunua Bajaj yake lakini Watumishi wako kazini miaka na miaka kujenga tuu Hadi Mkopo na nyumba xinaishia njiani.
Mwisho Serikali iache kudhalilisha Watumishi,iwaongezee Mishahara Ili wapate hadhi inavyostahili badala ya kudharaulika Kila siku na ndio sababu ya wake zao wengi kugongwa hovyo na madereva Bajaji na Bodaboda maana wao Wana uhakika wa supply ya pesa na ule usafiri unawapa hadhi kushinda Mtumishi.
Acha kulalamika acha hio kazi nenda kaendeshe Bajaj.Ndio Sina hiyo bajaji,harafu huwezi acha kazi uliyoanza nayo ukaenda kwenye kazi Mpya..
Pili kazi yangu insnipa posho sawa au zaidi ya take home so hapo kazi Iko Juu ya kuwa dereva Bajaji unless iwe Yako mwenyewe ndio utanizidi.
Ndio ushangae Sasa.Bajaji nyingi zinamilikiwa na watumishi.
Wapi nimelalamika?Acha kulalamika acha hio kazi nenda kaendeshe Bajaj.
Unawasifia Bajaj na wewe hutaki kuacha hio kazi
Acha hio kazi nenda kwa kawa dereva Bajaj
Usituletee kelele za kijinga
Sema zinamilikkwa na nani na wanazipataje.!?Ndio unavyojidanganya?
Wewe ni Mwendawazimu sio bureSema zinamilikkwa na nani na wanazipataje.!?
Angetembelea ule Uzi wa UTUMISHI madogo wanasaka mrija wa asali hawana habari za bodaboda na Bajaj..wakuu si kila mara mnasema huko kwa Gov kuna job security yenye mambo mazuri?..sasa job security inashindwa vipi na boda&bajaji?..job security si ndio kila kitu?[emoji3]
Acha hio kazi nenda kaendeshe BajajWatumishi ni maskini ndio maana wanaogopa risk wanakimbilia Ajira Zenye risk ndogo na mapato kiduchu
Aliyekudanganya nani ukiwa babu na scale yako kubwa ya mshahara, huwezi ku enjoy watoto wakali?Sasa unatakiwa kuwa na salary kubwa Ukiwa Kijana Sasa wewe saiz ni Babu hata Ukiwa na salary kubwa huwez enjoy Watoto wakali
Swali chonganishii😀😀😀Ikiwa una Mwanao wa kike. Aolewe na dereva bajaj au mfanyakazi wa serikali anayelipwa 900k kwa mwezi?
Tofautisha kwanza kati ya biashara na uwekezajiMtumishi wa Umma na Biashara wapi na wapi? Unafanya Kwa favour ya kazi ukihamishwa au Kustaafu nayo inakufa au kufukuzwa inakufa unakuwa hoi.
Robo tatu ya Watumishi wa Umma ukiacha walimu hufa au Kufilisika punde baada ya kustaafu ,ni nadra sana kufikisha miaka 75 Kwa sababu hawana skills za maisha Nje ya Ajira.
Kabisa umemwambia ukweli! Na huyo sio mvumilivu ni mtu wa kutaka hela za haraka kama mtu aliyeenda kwa mganga.fikiria mtu ana kuku elfu moja akiamka asubuhi tu unakuta robo wamekufa yaani ni stress tupu! Anadhani hayo ni rahisi hivyo?Yaani dereva Bajaj tena ni bora kuliko mtumishi wa umma?!?
Tena Bajaj ambayo sio yake ?!?
Hizi dharau zimezidi sana
Narudia tena
1. Bima ya afya
2. Uhakika wa mshahara kila mwezi
3. Mikopo
4. Mafao baada ya kustaafu
Huyo dereva Bajaji au Bodaboda
Wewe unachoona ni hela za haraka haraka ambazo wanazishika ila kwa faida za muda mrefu hazizidi watumishi.
Acheni dharura basi.
Umeongea point nyingi mno hapa. Una uelewa mkubwa sana mkuu.Nyie ndio mnafanya watoto wakatae shule wakiamini udereva bajaji una pesa matokeo yake wanaacha shule wanaenda kwenye udereva bajaji at the end familia umaskini hauishi kwa kupenda vitu vya short cut, mnaamza shikana uchawi kwenye familia kumbe mmejiroga wenyewe kwa tamaa tamaa mama hizi
Kuna familia umaskini umekithiri kwa sabaabu tu zamani biashara ya udereva tax ulikuwa unalipa so baba mpaka watoto wote walikimbilia kwenye udereva tax hawakutaka shule matokeo yake Sasa boda boda zikaja bajaji zikaja tax zikakosa deal kijana kawa mkubwa ujuzii wake ni udereva tu at the end ndio hawa unaowana kwenye bajaji nk , wanatamani waendeshe. Magari ya serikali ila sifa hawana so familia zinaishi maisha. Ya kuunga unga tu
At least wewe una point somewhere.Kuna kijana nilimsaidia hela anunue bajaji yake huko Tanzania... mwaka 2020 ameinunua hiyo bajaji ...sasa ni mwaka 2023 ameshamaliza ujenzi wa nyumba yake ... yaani ni nyumba nzuri kweli mpaka nimeshangaa ...na mwaka huu anaoa.. nimevutiwa na hiyo biashara ya usafiri kwa njia ya bajaji hapo dar es salaam ila naona faida kubwa ni kwa wale wanaoendesha bajaji zao wenyewe.. sio hawa wanaoendesha bajaji za wengine
Wewe humu ndani ndio unaonekana mwendawazimu.Wewe ni Mwendawazimu sio bure
Kuna facts tofauti na hizi hapa?Wewe humu ndani ndio unaonekana mwendawazimu.
Unatuletea nadharia bila facts.
Unawasifia bodaboda na kuwananga watumishi Ili Hali wewe mwenyewe mtumishi
Hutaki kuachana na hio kazi ukavune mapesa ya Bajaj
Una wazimu kweli hauko sawa sawa kichwani dishi limeyumba[emoji1787]
Nenda kaanze endesha bajaji uwe tajiri hio nafasi Yako serikali ibaki wazi vijana wapate kazi.