Dereva Bajaji ana Maisha Mazuri Kuliko Watumishi wa Umma

Huku mtaani dereva Bajaj anataman kuwa mtumishi wa umma. Ulichoandika ni sawa na yule mtu anaekwambia kalime mpunga ekari 5 kwa mtaji wa 5M Kisha mwisho wa mavuno utapata 40M πŸ₯΄ weee unaijua iyooo!? Mi naijua iyoo!
 
Nimeona madereva bodaboda wengi,wamenunua Toyo za miguu mitatu,na wamejenga nyumba za maana.
 
Ndio Sina hiyo bajaji,harafu huwezi acha kazi uliyoanza nayo ukaenda kwenye kazi Mpya..

Pili kazi yangu insnipa posho sawa au zaidi ya take home so hapo kazi Iko Juu ya kuwa dereva Bajaji unless iwe Yako mwenyewe ndio utanizidi.
Acha kulalamika acha hio kazi nenda kaendeshe Bajaj.

Unawasifia Bajaj na wewe hutaki kuacha hio kazi

Acha hio kazi nenda kwa kawa dereva Bajaj

Usituletee kelele za kijinga
 
Acha kulalamika acha hio kazi nenda kaendeshe Bajaj.

Unawasifia Bajaj na wewe hutaki kuacha hio kazi

Acha hio kazi nenda kwa kawa dereva Bajaj

Usituletee kelele za kijinga
Wapi nimelalamika?
 
..wakuu si kila mara mnasema huko kwa Gov kuna job security yenye mambo mazuri?..sasa job security inashindwa vipi na boda&bajaji?..job security si ndio kila kitu?[emoji3]
Angetembelea ule Uzi wa UTUMISHI madogo wanasaka mrija wa asali hawana habari za bodaboda na Bajaj
 
Sasa unatakiwa kuwa na salary kubwa Ukiwa Kijana Sasa wewe saiz ni Babu hata Ukiwa na salary kubwa huwez enjoy Watoto wakali
Aliyekudanganya nani ukiwa babu na scale yako kubwa ya mshahara, huwezi ku enjoy watoto wakali?

Ng'ombe hazeeki maini mkurugenzi.
 
Tofautisha kwanza kati ya biashara na uwekezaji
 
Kabisa umemwambia ukweli! Na huyo sio mvumilivu ni mtu wa kutaka hela za haraka kama mtu aliyeenda kwa mganga.fikiria mtu ana kuku elfu moja akiamka asubuhi tu unakuta robo wamekufa yaani ni stress tupu! Anadhani hayo ni rahisi hivyo?

Aache dharau sana
 
Umeongea point nyingi mno hapa. Una uelewa mkubwa sana mkuu.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
At least wewe una point somewhere.

Maana hata Mimi namjua jamaa Fulani alianza na Bajaj Moja saivi Amazon Tisa nane kawapa watuoja a anaendesha mwenyewe.

Lakini sio wote wako hivyo.
 
Wewe ni Mwendawazimu sio bure
Wewe humu ndani ndio unaonekana mwendawazimu.

Unatuletea nadharia bila facts.

Unawasifia bodaboda na kuwananga watumishi Ili Hali wewe mwenyewe mtumishi

Hutaki kuachana na hio kazi ukavune mapesa ya Bajaj

Una wazimu kweli hauko sawa sawa kichwani dishi limeyumba[emoji1787]

Nenda kaanze endesha bajaji uwe tajiri hio nafasi Yako serikali ibaki wazi vijana wapate kazi.
 
Kuna facts tofauti na hizi hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…