Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

Traffic haruhusiwi kuchomoa funguo ya gari.
Traffic harusiwi kubandua bima,
Traffic harusiwi kung'oa plate number
Marufuku kuwasha double indicater kama hakuna dharula.
Taa ya njano na red zote simama
Niliwahi simama taa ya njano trafiki alinipiga faini.

Siku hizi nikiiona nachapa lapa.
 
Hapana NIT wanafundisha Dereva usimame unapoona Mtu anakuja uelekeo wa Zebra akiwa mita 50 ni ivyo
Nadhani umeona neno''aliyetayari kuvuka" ila hiyo mita 50 mimi sikufundishwa
hivi mkuu mita 50 unaijua?
 
Kuendesha gari na Ndala Imekatazwa kwa Sheria gani?
 
Back
Top Bottom