gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Mkuu hizi alama zinakusaidia kujua pattern ya barabara, kama unaelewa maana ya hiyo mistari huwezi pata shida.Hoja yangu iko hapo kwenye red; ni rahisi kuona object (gari, mnyama, mtu, n.k.) iliyoko mita kadhaa mbele lakini huwezi kuona dotted line inapoishia at the moment unaruhusiwa ku-overtake.
Ukichungunguza utagundua kuna dotted line ndogo ndogo za wastani na zile ndefu zote zina maana tofauti.
Inawezekana we ukiona tu dotted unatoa gari kuovertake wakati hizo dots zinakueleza kuwa mbele kidogo baada ya hapa sio salama hivyo chukua tahadhari. Sasa km we huelewi unatoka kuovertake semi tano lazima ile kwako.
Ndio maana nimekuuliza umesoma driving na unajua maana ya hizo line zote au umekariri tu yenye dots unaovertake?