Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiwa una drive huruhusiwe kuvaa open shoesJuzi nimetishiwa kuandikiwa fine kisa nilikuwa nimevaa open shoes. Hawa jamaa hawakosi kosa la kupigia hela.
Huwajui wewe hawa yangeyange, ukionekana mkono mfupi wanarithishana namba za gari yako, na wanahakikisha ulali bila "cheti cha mahabara".Nyie ndo mnawajaza ujinga na wanazidi kuona watanzania wote ni mabwege.mimi sitoi rushwa...ikishindikana naandikiwa.
Siku hizi buku 5 wanazikataa hao wanyang'anyi..Trafiki akikukamata kuwa mpole tu..then chomoa buku tano..sepa.
Huwajui wewe hawa yangeyange, ukionekana mkono mfupi wanarithishana namba za gari yako, na wanahakikisha ulali bila "cheti cha mahabara".
Hizi sheria nadhani hazikuwa kwa ajili ya nchi za kiafrika maybe.
Wala usimlaumu. Waliolikoroga sana suala hili ni traffic police wenyewe. Kama unakumbuka mwaka juzi walianzisha kampeni kubwa ya kukamata madereva wanaovunja sheria kwenye zebra.Hili limewahi nitokea nikataka overtake gari nakuta mbele kuna watu wanavuka...ananipigia kelele huoni nimewasha hazard nami nikamwambia kuwasha hazard maana yake gari inashida so sisi wengine tuendelee na issue zetu... Mijitu imeanza tu kuiga hili jambo miaka ya karibuni.sisi kipindi tunaendesha gari miaka ya 90 hili jambo halikuwepo kabisa.
Ni kosa bossJuzi nimetishiwa kuandikiwa fine kisa nilikuwa nimevaa open shoes. Hawa jamaa hawakosi kosa la kupigia hela.
... Paso ni chombo cha moto chenye injini na zaidi ya tairi tatu - ni gari hiyo.Je Passo inastahili kukatiwa bima ya gari au Bajaj?
... ndani ya muda huo gari inakuwa wapi? kituoni (cha polisi) au unakuwa/baki nayo? Confusion iko hapo.Leseni inaweza kuwasilishwa ndani ya masaa 72
Nilishamsikiliza Kiongozi mmoja wa Traffic akihojiwa ITV kuwa kuvaa open shoes haukatazwi kisheria lakini unaweza kukusababishia matatizo hivyo hawapendi madereva wavaeukiwa una drive huruhusiwe kuvaa open shoes
Nilishamsikiliza Kiongozi mmoja wa Traffic akihojiwa ITV kuwa kuvaa open shoes haukatazwi kisheria lakini unaweza kukusababishia matatizo hivyo hawapendi madereva wavaeukiwa una drive huruhusiwe kuvaa open shoes
Kimsingi kosa lako Ni kuovertake bila kuzingatia usalama wako na usalama wa wengine..kabla ya kuovertake lazima ufanye assessment ya mazingira yako ikiwemo wale unaotake kuwaovertake (idadi ya magari, Aina ya magari, mwendo wao n.k) na mazingira ya eneo husika..ikiwemo hiyomistari ya barabarani, Kona, mashimo, utelezi nk. n.k. Kuna watu wanaovertake bila kufanya assessment yeyote ndo hayo anatoka mbele anakutaka uso kwa uso na Gari ingine...au anakutaka na Kona na kusababisha ajali zisokuwa na msingiNa mimi naomba kuchangia. Mko njia kuu nje ya mji kwa mfano nje ya 50; mbele kuna milori kadhaa imetangulia mwendo mdogo sana. Unayafuata taratibu ukisubiria upate sehemu inayokuruhusu ku-overtake.
Mungu si Athumani, unaruhusiwa ku-overtake bila hiana mbele kweupe unaingia kulia. Lol! kumbe msafara mrefu kiasi, hamad, dotted line imefikia mwisho huwezi kurudi kushoto kwa sababu kuna gari; unakanyagia ili ulimalizie lile lori then unarudi kushoto tayari ulishavuka dotted line.
Duh! Balaa, kumbe walikuwa wamejificha mahali, ghafla wanaibuka barabarani unawekwa pembeni. Michezo hii ipo sana Kibaha - Mlandizi na Dumila - Gairo. Jamani, tukienda kiuhalisia hapo kosa langu ni lipi?
Kumbuka mstari wa kuniruhusu ku-overtake unapoanzia sijavaa darubini ili nijue unaishia wapi; ni hadi mita chache kabla ya unapoishia ndipo napoweza kugundua unaishia pale; siwezi kurudi kwa sababu kushoto kuna gari.
This is a very stupid regulation; nilishapigwa sana mabao ya aina hii. Sheria (I think rule) hii ilitakiwa izingatie zaidi ulipotokea/ingilia na sio pale dereva alipomalizia kutokana na changamoto niliyoileza hapo juu. Wahusika waliangalie hili.
Hayo yote nakuwa nimeyafanya Mkuu tatizo mstari utaishia wapi?Kimsingi kosa lako Ni kuovertake bila kuzingatia usalama wako na usalama wa wengine..kabla ya kuovertake lazima ufanye assessment ya mazingira yako ikiwemo wale unaotake kuwaovertake (idadi ya magari, Aina ya magari, mwendo wao n.k) na mazingira ya eneo husika..ikiwemo hiyomistari ya barabarani, Kona, mashimo, utelezi nk. n.k. Kuna watu wanaovertake bila kufanya assessment yeyote ndo hayo anatoka mbele anakutaka uso kwa uso na Gari ingine...au anakutaka na Kona na kusababisha ajali zisokuwa na msingi