Dereva taxi aliyemchukua ambaye sasa ni mgonjwa wa Corona, hana corona

Kuna jambo la hongo kwenye swala hili, uwanja wa ndege wamulikwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu akija anaishi hotelini akihudumiwa na wazawa huoni risk ni ile ile kama Isabela alivyoenda Hoteli

ila mawe anarushiwa Isabela tu
Double standards!
Bila shaka tabia zake na zako mnaendana ndiyo maana unamtetea basi nawe nenda huko kisha urudi Tz, halafu sinaga urafiki nawewe nashangaa kuni quote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo gharama za usafiri zinalingana na uhai hata wake yeye mwenyewe? Tuombe Mungu lah wamekufa watu takribani 100 au hata mmoja tu bado hoja yako kwenye gharama inasimama!
 
Bila shaka tabia zake na zako mnaendana ndiyo maana unamtetea basi nawe nenda huko kisha urudi Tz, halafu sinaga urafiki nawewe nashangaa kuni quote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukuquote si lazma tuwe marafiki..after all hunijui sikujui ni mijadala tu kubadilishana mawazo

issue is
Kwani safari alizuiliwa?.
Maadamu mipaka yetu bado iko wazi ilikua suala la muda tu
Hata leo hii mkimuua mwingine atakuja nao..sijui mtaua wangapi
Fikiria angekua ndugu yako

naona ni sababu za mazingira zaidi na si makusudi..no wonder hadi kaomba samahani watanzania
 
Kwa hiyo gharama za usafiri zinalingana na uhai hata wake yeye mwenyewe? Tuombe Mungu lah wamekufa watu takribani 100 au hata mmoja tu bado hoja yako kwenye gharama inasimama!
Sasa Mkuu wewe umeona Gharama peke yake? Mbona nimeweka vitu vingi mkuu? Gharama ni moja wapo tu, lakini nimesema Flight haikuahirishwa? Nchi Husika Ilikuwa haijazuia Bado? Hii ni kutokana na kwamba Kwa utaratibu wao isseu haikuwa Critical kwa kipindi hicho.
Unayotakwimu ya Belgium hiyo Tarehe 3 wakati yeye anaenda Huko?
Lakini pia lazima Uangalie hatua alizochukua baada ya Kujihisi;

Lakini pia nimekwambia kwamba, Huwa anakawaida ya Kusafiri sana Europe, na hapo hakwenda nchi zote maana Sijaona France, Switzerland and Finland huwa ndo trip zake pia.
Anyway mie nimejaribu kukupa sababu mbalimbali lakini naona wewe unaona tu Gharama hapo, hizo zingine mbona huzungumzii?
 
Kwa hiyo gharama za usafiri zinalingana na uhai hata wake yeye mwenyewe? Tuombe Mungu lah wamekufa watu takribani 100 au hata mmoja tu bado hoja yako kwenye gharama inasimama!
Bora angetulia, mfano unaenda kwenu familia zetu hizi mnaishi kuanzia watu 10 si hatari hiyo! Ila anawatetezi wengi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ndugu lazima tumwambie asisafiri kama anataka kujiuza akajiuze huko mtaa wafisi, laa akiondoka akae huko huko mpaka ugonjwa uishwe, huo si ukimwi mpaka mjahamiane au mkatane viwembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende kujiuza huko atuletee vitu vya hatari kama hivyo, hivi kwa hali kama hii uondoke hapa eti naenda wapi kisha arudi nyumbani? Hapo tunaiachia serikali imalizane naye
Sio mbaya Mkuu, Kuna TRUTH NA FACT; Sisi sote tunaongelea upande wa TRUTH maana truth ni fact kwa upande wa Perspective ya MTU (in this case mimi na wewe) Ila FACT ni Truth ya upande wa MTENDAJI; Hivyo nadhani sisi tunaweka tu mambo yetu, Ila ukweli hasa anajua muhusika. hayo mambo ameenda kujiuza sijui vitu gani mimi na wewe hatujui sana;
Ila mimi niliongelea kwa experience kwamba amekuwa akija Ughaibuni kwa sababu ambayo huwa inamleta huku ambayo nimeisema hapo awali; Hayo ya kujiuza mimi sijui.

Anyway nashukuru pia kwa mtazamo wako.
 
Flight kuahirishwa haiko kwenye maamuzi ya huyu mnayemuita muhanga, tunauangalia utashi wake, uwezo wake wa kuchakata taarifa na kuzifanyia maamuzi ambayo leo yanaligharimu taifa, tukiwepo mimi na wewe! Leo mwanangu hajaenda Who knows kila kitu kitafungwa baada ya muda fulani, biashara zitasimama, bidhaa kupanda bei na athari nyingine ndogo na kubwa!

Na hapo kwenye hatua aliyochukua wameshasema wenzangu ila nitarudia ni ya kibinafsi sana!
 
Who knows kila kitu kitafungwa baada ya muda fulani, biashara zitasimama, bidhaa kupanda bei na athari nyingine ndogo na kubwa!
Brother nadhani kwa Uko sawa kwa kadiri ya Mtazamo wako, nami sikupingi kabisa;
Ila Ukifanya Root cause Analysis utagundua kwamba Muhanga wa Kwanza ni Nchi; Maana baadhi ya nchi zimezuia kabisa watu kuingia; Kama nchi yetu bado ilikuwa inaruhusu kutoka na na kuingia hapo utamuhukumu mtu direct?;

Unazungumzia Utashi, Kila mtu anao Utashi wake as long as havunji Sheria;Lakini nchi inapoona Utashi wa watu unavunja Sheria au unahatarisha maisha ya watu Huwa inahusika;

Kumbuka kabla ya Tamko la Waziri Mkuu Wanafunzi na Waalimu asilimia Kubwa waliendelea kwenda Shule; Je Walishindwa Kuchakata taarifa Kwamba wasiende?

Nchi za Africa Ilibidi zizuie mipaka yake Toka February 20; Isipokuwa kwasababu huko Mnategemea mambo mengi kutoka kwa Huku kwa Wazungu Utalii, madini etc Mamlaka zikaona ziendelee tu; Na ndio mambo kama haya sasa mnasingizia Mtu; Unafikiri Flight Zingezuiwa Angekuja Ughaibuni na Usafiri gani? Au angerudi na Usafiri gani?
KLM, SWISS AIR, Qatar zimesimamisha travel toka Feb; Ila hizi Rwanda, Ethiopian badoo tuu. Hivyo ndugu Ukifukua Vizuri tatizo huwezi toa lawama kwa Isabela, hata kama Utalazimisha lawama kwake ila Inaenda mbali zaidi.
 
Kama ndugu lazima tumwambie asisafiri kama anataka kujiuza akajiuze huko mtaa wafisi, laa akiondoka akae huko huko mpaka ugonjwa uishwe, huo si ukimwi mpaka mjahamiane au mkatane viwembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani alienda kujiuza?!
Profile ya Isabela yaonekana ni mwanamke mwenye uwezo

*mjahamiane-mjamiiane
 
Ngoja nikuulize swali leo ukisikia kuna mapigano ya wakulima na wafugaji hapo Moro utakwenda kwa sababu mpaka uko wazi na serikali haijalizungushia eneo hilo utepe mwekundu?
Na kuhusu Isabella historia itabakia hivyo tukiwa tunataja Corona mwaka wa kuingia tarehe na dakika na Isabella atatajwa, na vizazi vyetu vyote tutawaambia na tukifa watasoma kwenye historia au wataangalia kwenye discovery channel.
 
Gari nayo imepuliziwa dawa?
 
Ngoja nikuulize swali leo ukisikia kuna mapigano ya wakulima na wafugaji hapo Moro utakwenda kwa sababu mpaka uko wazi na serikali haijalizungushia eneo hilo utepe mwekundu?
Mkuu Hii ndio inatofautisha kati ya Mtu na Mtu, Mimi na wewe ni Tofauti, wewe na mwingine ni tofauti sana kwenye sekta ya Perspective ; Inawezekana wewe usiende; Ila mimi ninayo Perspective tofauti naweza nikaenda huko pasi na mashaka kabisa kufanya Biashara ya Mapanga na Vinoleo huko au Nikaenda kama Peace maker etc, nikiwa tayari nimebeba Risk ya Eneo husika.

Hivyo Scenario ya Swali lako wewe ni la Kimtazamo zaidi; na Suala la kimtazamo huwezi Tegemea jibu moja kati ya Mtu mmoja na mwingine Mkuu; na kwenye suala la Kimtazamo hakuna wrong wala right inategemea hoja yako iko vipi.
Na ndio maana Nikakwambia kwamba Sikupingi; Maana kwa kadiri ya Mtazamo wako wewe kwenye suala hilohilo ni tofauti na mtazamo wangu mimi. hata humu wapo wanolaumu Serikali, wapo wanaomlaumu isabela, Wapowanaolaumu Wachina kabisa, wapo wanaolaumu Rwanda Air etc. ni suala la PERSPECTIVE tu ndugu.

Si vyema sana Kufanya Judgmental kwenye suala la kimtazamo, maana inategemea Angle Muhusika Amekaa, na sio wewe umekaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…