Brother nadhani kwa Uko sawa kwa kadiri ya Mtazamo wako, nami sikupingi kabisa;
Ila Ukifanya Root cause Analysis utagundua kwamba Muhanga wa Kwanza ni Nchi; Maana baadhi ya nchi zimezuia kabisa watu kuingia; Kama nchi yetu bado ilikuwa inaruhusu kutoka na na kuingia hapo utamuhukumu mtu direct?;
Unazungumzia Utashi, Kila mtu anao Utashi wake as long as havunji Sheria;Lakini nchi inapoona Utashi wa watu unavunja Sheria au unahatarisha maisha ya watu Huwa inahusika;
Kumbuka kabla ya Tamko la Waziri Mkuu Wanafunzi na Waalimu asilimia Kubwa waliendelea kwenda Shule; Je Walishindwa Kuchakata taarifa Kwamba wasiende?
Nchi za Africa Ilibidi zizuie mipaka yake Toka February 20; Isipokuwa kwasababu huko Mnategemea mambo mengi kutoka kwa Wazungu mkaona muendelee Kuchelewa; Na ndio mambo kama haya sasa mnasingizia Mtu; Unafikiri Flight Zingezuiwa Angekuja Ughaibuni na Usafiri gani? Au angerudi na Usafiri gani?
KLM, SWISS AIR, Qatar zimesimamisha travel toka Feb; Ila hizi Rwanda, Ethiopian badoo tuu. Hivyo ndugu Ukifukua Vizuri tatizo huwezi toa lawama kwa Isabela, hata kama Utalazimisha lawama kwake ila Inaenda mbali zaidi.