Ma abiria walikuwa wapi mpaka Mtanzania mwenzao anauawa kwa fimbo?Wauaji Wabinywe map*mb* na watolewe meno kwa prize na wapigwe short za UMEME, ikiwezekana wakalie CHUPA
All in all,
Wakati mwingine unakuta marehemu aliwapa shiti na kuwatukana Sana kiasi Cha kushindwa kuvumilia who knows hata ivyo hawakupaswa kufanya walicho fanya ni kitendo Cha kinyama Sanaa
Solution ni double laneMadereva wanaendesha magari ya Rwanda ni wenye roho mbaya, ni wauaji wakiwa kwenye magari yao.
Alafu Serikali ipige marufuku mabasi na malori kuweka ngao za chuma sehemu za mbele na nyuma ya gari.
Malori na Mabasi yaliyoqekewa hizo ngao hato magari yalipishwe faini na yasiendelee na safari mpaka hizo ngao ziondolewe.
Abiria abiria....Sasa wewe unasafiri na bus,dereva kasimama anaenda kupigana na dereva mwingine nje ya bus kwahio utashuka ukaingilie? Hata mimi wala nisingehangaika.Hao abiria hivi wana akili timamu?? Yaani mwenzao anapigwa wamekaa kwenye siti.
Na hao waliompiga si watafutwe wakamatwe. Watu mnasema R.I.P huku mnachekelea.
Sasa wewe ulifikiri ukiwa mbele ya watu ndio upigane hovyo utegemee waingilie ugomvi wajo wa kupuuzi? Utakufa huku unaangaliwa tusubiri polisi waje wakutupe nyuma ya defender lao.Pia ni reminder kwamba ukiwa unakufa mbele ya watanganyika wenzio watakurikodi warushe status.
Hawa wapumbavu ukiwa na hasira za karibu tukio kama hili linajutokea. Washenzi sana hawa.Mpaka tupate habari ya upande wa pili.
Nijuwavyo nadereva wa mabasi ndiyo huendesha vibaya, wanajimwambafai sana barabarani.
Mkuu mm huo nikiyatafakari matendo ya baadhi ya binadam, basi najikuta kila kiumbe aitwae binadamu nashirikiana nae kwa tahadhari kubwa sana, maana kiumbe huyo akikubalikia kidogo tu anachoweza kukufanya utashangaaBinadamu tumekuwa wanyama hata Hao wanyama wenyewe wanatushangaa, poleni sana ndugu zake😔
Wewe hujui watu wa jf? Yaani eti ushuke kwenye bus ukaingilie ugomvi wa wapuuzi wawili wasiojitambua! Ukute washagida viroba vyao.Kwa hiyo alikuwa ana pambana na walevi na watu Waliokuwa na silaha. Sasa hapo abiria wangepambanaje na walikuwa hawa silaha. Ku rekodi angalau kuna saidia kutoa ushahidi
Kuendesha vibaya na kuuliwa kunahusianaje, wewe bibi unazeeka vibaya!Mpaka tupate habari ya upande wa pili.
Nijuwavyo nadereva wa mabasi ndiyo huendesha vibaya, wanajimwambafai sana barabarani.
Hao abiria wasenge sana yaani dereva wao anapigwa hadi anakata Moto wao wapo tunaomba usiangalie, imeharibu siku yangu. mtu anakata roho anaruka na kutetemeka kakakamaa kama kuku yaani. mtoto wa mwanadamu mwenzio na jamaa mwanaume amesimama na rungu pembeni kama anataka kumwongeza. wakamatwe haraka wauaji hawa.
Ni kweli Kabisa madereva wa mabasi wanajifanya wana haki Sana barabarani na hivyo wanakuwa na visenti vya kuwaachia ma traffic au ndio mabasi ya wenyewe, basi itakuwa ukiwa na Gari dogo atapita magari mengine, akikutaba nnaclorry au Gari nyingine mbele anakuletea mwenye Gari dogo upande wa kushoto, mpaka unatoka barabarani, mpaka ningependekeza mabasi yawekewe CCTV ili ajali ikitokea ushahidi uwepo .ama sivyo kuwepo Chuo maalumu cha madereva wa magari ya biashara hususani yanayobakia abiria.Mpaka tupate habari ya upande wa pili.
Nijuwavyo nadereva wa mabasi ndiyo huendesha vibaya, wanajimwambafai sana barabarani.
Kwenye malori kumevamiwa na waraibu....Enzi zetu tuliishi kwa upendo sana.Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.
Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.
Acha TUMa abiria walikuwa wapi mpaka Mtanzania mwenzao anauawa kwa fimbo?
DaaahKuna habari inazunguka pale mtandao wa "X" ikisema dereva wa mtei kauawa na dereva wa Lori za Rwanda je kuna ukweli?
Inadaiwa Dereva huyo wakati anaendesha Bus, njiani alikutana na na Malori mawili kutoka Rwanda...
Malori hayo yalikuwa yanaendesha vibaya hivyo derva akasimamisha gari kwa kutaka kuongea nao, ambapo walimpiga na kumuua..
View attachment 3087265
View attachment 3087267
=====
UPDATES KUTOKA JESHI LA POLISI
View attachment 3088120
Hivi hilo gari halikuwa na abiria? Au alitaka kusababisha ajali hao wakakasirika kwa sababu amebeba watu?NImekutana na clip moja imeharibu siku yangu yote. inaonyesha dereva wa mtei anakata roho na kuna wanaume wameshika fimbo inaonekana ndio wamempiga, inasemekana ni madereva wa lorry. ni kweli?
wanadamu sometimes wabaya sana sana.
View: https://x.com/i/status/1831253133109899406
Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.
Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.
Hekima hamna plus ganja na nyagi muda wote.Huko barabarani kuna mambo mengi sana wakati mwengine kwenye shari na hao jamaa wa malori kama ukiweza hata kama amekugusa muache tu aende ukafanye namna nyingine.
Jamaa ni nusu vichaa na zamani tulizoea kuona madereva wa malori wazee siku hizi ni vijana wadogo hekima ya kuamua ni zero.