Dereva wa Basi la Saratoga apigwa na Askari wa JWTZ

over take vs take over wenye hiyo tabia ni mabus au malori yanayochukua muda mrefu kuwa barabarani. Kufanya take over kwa magari ya hospital & ulinzi wa mipaka ya nchi unastahili kichapo kwani unakuwa unahatarisha usalama wa wananchi.
Usalama gani? Uonevu tu umewajaa.
Wanajeshii sijui wakojeee.
 
Basi hapo wee roho kwatuu?? Nafsi zenu ziwasutage kwa uonevuu. Lol
 
Ivi mjeda ukimpiga za usoo akaona wazungu mia mia Kuna kesiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787],inamaana Jamaa hawapihiki mbona always wao Ndo hupiga....ukute hapo dogo anamiaka 28 kampiga baba 45....seeee mi namwonyesha ukengee labda wawe 7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii khaaah
 
Huu ujinga wa hawa Wanajeshi pia ulimpata Dereva wa daladala za Mlandizi pale Picha ya Ndege(nilikuwepo kwenye hiyo Daladala, nilimind sana hadi nikawa natokwa na jasho jembamba).

Huyo mwanajeshi alikuwa anaendelea IST, Daladala ilikuwa inapakia abiria hapo kituoni baada ya kumaliza ikaanza kuondoka, wakati inaingia barabarani, IST ya Mwanajeshi ikawa inakuja. Mwanajeshi badala ya kupunguza ili aipe nafasi daladala iingie barabarani akataka kulazimisha kupita, akashindwa akapunguza mwendo, Daladala ikaingia barabarani.

Baada ya hapo, Mwanajeshi kapita mbele fasta akaenda kuiblock daladala na IST yake halafu kashuka kwa hasira kaanza kumshambulia dereva kupitia dirisha la dereva(lilikuwa wazi), akampiga ngumi kazaa kichwani huku akiwa anamvuta Tshirt hadi akachana mkono wa Tshirt. Abiria tulibaki tumeduwa bila kumsaidia dereva, Mwanajeshi alipomaliza hasira zake huku arusha matusi juu akaondoka zake. Nilichukia hicho kitendo cha Mwanajeshi aisee endapo abiria wangeamua kumsaidia Dereva ningeunga tela kumuwajibisha huyo jamaa wa mabakamabaka. Wana ubabe usio na mashiko na wa kipuuzi sana.
 
Kazi kupiga raia tu ndicho tunachoweza, ila kupambana na wahalifu mhhhh...,....

Wewe mwanajeshi kama upo humu, kama nikweli umefanya haya, bac naomba kabisa hii tabia ya kupiga raia acha kabisa, narudia acha kabisa, siku ukijichanganya uraiani nadhani unajua kitakacho kukuta, aidha stand za mabasi au popote pale, aise utajuta kuzaliwa. Nakuomba acha kupiga raia,
 
Hawa hamna haja ya kusumbuka nao maana wana malizana wao kwa wao kambini ni mwendo wa kupigana juju tu na vipapai..kudadeki survival of the fittest
 
Kwahyo action tuu hata kam dereva wa bus anamakosa kias gan ndio apigwee??[emoji112]

Sisi tunalopng hapa ni uonevu/ uvunjifu wa Sheria/kuchukua hatua mkoni hatusemi kuw derev bas alikuw SAHIHI au sio sahihi
Tusikie na Upande wa pili ,si rahisi upigwe vibao kisa ku overtake ingekuwa hivyo Route ya Lugalo watu wangekuwa wanakula vibao daily.
 
Kama alisababish ajar ingeripotiw Ajari
2:- atakam amesAbishwa Ajari Sheria inaelekeza apigwee asee!!!??
 
Hapana,ndo maana nimeshangaa mpaka MDA ule askar jeshi ajakamatwa.
Maana no jinai ile,Ila ndo ivo polisi wamenywea kijinga sana
Kwenye Taarfa alie ripot amessema Askari amehojiw (Taratbu zmefutwa)
 
Acha ujingaaa wew hakuna mtu muhm kuliko mwingine

Umuhim utakuja kwenye swala la Radharula Tuu

[emoji613][emoji613][emoji613][emoji367]
 
Unawez kuta hapo alikuw anamuwah demu wake , Asee umri na sifa ya kazi zinawasumbua Ndio maan wanasabish ajar maan njian kama wew dereva huwez kupaki sana kwakosa la mwez limetokea hadi unashuk kweny gari yaan hujapoa nakumwambia mwenzAko sio sawa pale
 
...Suala la kupiga sio sahihi ila huyo dereva wa basi asifanye watu wajinga yani ka-overtake kaenda kasimama halafu kapigwa ?kuna kitu kafanya baada ya ku-overtake sababu hayo magari ya Jeshi kila siku tunaya-overtake na tunakula nayo ligi vizuri tu na hatupigwi, anaonekana kazoea tabia za hovyo barabarani na hii ni kwa madereva wengi wa mabasi.!
 

Kama nimekuelewa vizuri ni kuwa daladala alichomekea ist ya mjeda, na hii ni typical tabia ya daladala, bajaj, boda na mabasi ya abiria y’a mikoani kufanya hivyo kiasi kwamba usipokuwa na busara utajikuta unakwangaana nao kila siku, na anakusababishia Majanga mfukoni hana hata mia mbovu.
Same happens kwa madereva wa mabus, wako rafu sana barabarani: dereva wa bus anakuona kabisa unakuja na anaovertake anakuletea dude, inabidi utumie busara utanue apite na kama njia ni nyembamba basi utajikuta machakani na yeye katembea,
Dogo alifanyiwa hivyo na ka Raum kake na kisha dereva wa new force akatembea kamuachia msala hapo,
Hatubariki alichofanya mjeda, ila binafsi nikiweka mizania na hizi vurugu za hawa madereva wa mabus, naona sometimes kipigio cha namna hii ni muhimu sababu hata wakienda police wanahonga wanatoka.
Na hii iwe kama fundisho kwa madereva hawa wazembe na pia Jeshi la police liache kupokea rushwa na kuwapa viburi madereva,
Kuna madereva wa buses wengine wako juu ya sheria kabisa na ushahidi Upo wazi. Wapigwe tu siku mojamoja.
 
hawa wana hamu ya kupigana, watafutiwe vita. wapelekwe hata huko somalia, congo au msumbiji wakamalize hasira zao huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…