cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Abiria gani? Wabongo? Ukute wote hapo walikua wanaogopaa, lolAbiria wangemsaidia kumshushia makonde huyo mjeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abiria gani? Wabongo? Ukute wote hapo walikua wanaogopaa, lolAbiria wangemsaidia kumshushia makonde huyo mjeshi.
Usalama gani? Uonevu tu umewajaa.over take vs take over wenye hiyo tabia ni mabus au malori yanayochukua muda mrefu kuwa barabarani. Kufanya take over kwa magari ya hospital & ulinzi wa mipaka ya nchi unastahili kichapo kwani unakuwa unahatarisha usalama wa wananchi.
Basi hapo wee roho kwatuu?? Nafsi zenu ziwasutage kwa uonevuu. LolYaani nihenye six week ng'aing'ai(jichojicho)then raia tu aikwangue gari yangu?ni mwendo wa ngumi tu.raia ujue kuwa,askari mmoja wa jw ni sawa na polisi 200 sasa wewe jichanganye kutu overtake utaona cha mtema kuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiii khaaahIvi mjeda ukimpiga za usoo akaona wazungu mia mia Kuna kesiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787],inamaana Jamaa hawapihiki mbona always wao Ndo hupiga....ukute hapo dogo anamiaka 28 kampiga baba 45....seeee mi namwonyesha ukengee labda wawe 7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani nacheka km mazuriii.UNAJUA AJIRA ZINGINE SIFA PEKEE KUAJILIWA NI KUKOSA AKILI
Huu ujinga wa hawa Wanajeshi pia ulimpata Dereva wa daladala za Mlandizi pale Picha ya Ndege(nilikuwepo kwenye hiyo Daladala, nilimind sana hadi nikawa natokwa na jasho jembamba).Dereva wa basi la Saratoga linalofanya safari kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma, Yasini Shabani (45), ameshambuliwa kwa kupigwa maeneo mbalimbali ya mwilini na Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), anayejulikana kwa jina la Emmanuel Peleka baada ya basi hilo kulipita gari la JWTZ katika eneo la Picha ya Ndege Kibaha mkoani Pwani.
Tusikie na Upande wa pili ,si rahisi upigwe vibao kisa ku overtake ingekuwa hivyo Route ya Lugalo watu wangekuwa wanakula vibao daily.
Kama alisababish ajar ingeripotiw Ajari1. Huyo dereva wa basi atakuwa alizingua (kusababisha ajali).
2. Kwanini iwe dereva wa Saratoga na sio wengine?
3. Wana fujo sana barabarani madereva wa mabasi.
4. Kuna mtu asiyejua fujo za madereva wa mabasi barabarani.
5. Kwanini tutetee hao wapuzi kupata mkong'oto toka kwa wanajeshi kwa rafu zao barabarani?
My take:
Sitetei wajeda kwa walilolifanya, ila mara nyingine tuwapongeze kuwa-discipline wapuzi kama hao madereva.
Wanakera sana hao na mipuuzi sana hao ndugu zetu madereva. Tutii sheria bila shuruti na hao wajeda hawatapiga mtu.
Kwenye Taarfa alie ripot amessema Askari amehojiw (Taratbu zmefutwa)Hapana,ndo maana nimeshangaa mpaka MDA ule askar jeshi ajakamatwa.
Maana no jinai ile,Ila ndo ivo polisi wamenywea kijinga sana
Acha ujingaaa wew hakuna mtu muhm kuliko mwingineYaani wewe ningekuporomoshea matusi ya nguoni
Wewe ukilala unautwanfa usingizi unajua kuna wanajeshi majeshi yote wako shifti hawalali ili wewe ukorone usingizi mnono huku ukishika baby wako nkikia mintage vitandani mwenu hopeless wewe.
Jinga kabisa wewe Ukiona gari yeyote ya jeshi lolote pisha ukiwa na hicho kigRi chako kilichookotwa majalalani japani au ulaya ukauziwa kama used car
Mungu nisaidie mimi kiumbe dhaifu nisikuporomoshee matusi ya nguoni wewe
Unawez kuta hapo alikuw anamuwah demu wake , Asee umri na sifa ya kazi zinawasumbua Ndio maan wanasabish ajar maan njian kama wew dereva huwez kupaki sana kwakosa la mwez limetokea hadi unashuk kweny gari yaan hujapoa nakumwambia mwenzAko sio sawa paleHuu ujinga wa hawa Wanajeshi pia ulimpata Dereva wa daladala za Mlandizi pale Picha ya Ndege(nilikuwepo kwenye hiyo Daladala, nilimind sana hadi nikawa natokwa na jasho jembamba).
Huyo mwanajeshi alikuwa anaendelea IST, Daladala ilikuwa inapakia abiria hapo kituoni baada ya kumaliza ikaanza kuondoka, wakati inaingia barabarani, IST ya Mwanajeshi ikawa inakuja. Mwanajeshi badala ya kupunguza ili aipe nafasi daladala iingie barabarani akataka kulazimisha kupita, akashindwa akapunguza mwendo, Daladala ikaingia barabarani.
Baada ya hapo, Mwanajeshi kapita mbele fasta akaenda kuiblock daladala na IST yake halafu kashuka kwa hasira kaanza kumshambulia dereva kupitia dirisha la dereva(lilikuwa wazi), akampiga ngumi kazaa kichwani huku akiwa anamvuta Tshirt hadi akachana mkono wa Tshirt. Abiria tulibaki tumeduwa bila kumsaidia dereva, Mwanajeshi alipomaliza hasira zake huku arusha matusi juu akaondoka zake. Nilichukia hicho kitendo cha Mwanajeshi aisee endapo abiria wangeamua kumsaidia Dereva ningeunga tela kumuwajibisha huyo jamaa wa mabakamabaka. Wana ubabe usio na mashiko na wa kipuuzi sana.
ndio zao itakua aliingia akawachomekea kwa fujo na ndio zao madereva wengi wa mabasi wanafujo sana barabarani hasa kwenye foleni wao ndio wenye haraka tu acha wachezee vitasa kiainaAu aliwachomekea wajeda
Ova
Huu ujinga wa hawa Wanajeshi pia ulimpata Dereva wa daladala za Mlandizi pale Picha ya Ndege(nilikuwepo kwenye hiyo Daladala, nilimind sana hadi nikawa natokwa na jasho jembamba).
Huyo mwanajeshi alikuwa anaendelea IST, Daladala ilikuwa inapakia abiria hapo kituoni baada ya kumaliza ikaanza kuondoka, wakati inaingia barabarani, IST ya Mwanajeshi ikawa inakuja. Mwanajeshi badala ya kupunguza ili aipe nafasi daladala iingie barabarani akataka kulazimisha kupita, akashindwa akapunguza mwendo, Daladala ikaingia barabarani.
Baada ya hapo, Mwanajeshi kapita mbele fasta akaenda kuiblock daladala na IST yake halafu kashuka kwa hasira kaanza kumshambulia dereva kupitia dirisha la dereva(lilikuwa wazi), akampiga ngumi kazaa kichwani huku akiwa anamvuta Tshirt hadi akachana mkono wa Tshirt. Abiria tulibaki tumeduwa bila kumsaidia dereva, Mwanajeshi alipomaliza hasira zake huku arusha matusi juu akaondoka zake. Nilichukia hicho kitendo cha Mwanajeshi aisee endapo abiria wangeamua kumsaidia Dereva ningeunga tela kumuwajibisha huyo jamaa wa mabakamabaka. Wana ubabe usio na mashiko na wa kipuuzi sana.
Sawa yaweza kuwa,japo Mambo ni mengi yasiyofurahisha pande zote mbili.Kwenye Taarfa alie ripot amessema Askari amehojiw (Taratbu zmefutwa)
Una akili za kichawa sana.Pisha wanajeshi wapite au msafara wa viongozi wa juu upite