Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Nikusahihishe kidogo, wanyama hawajafikia level hiyo! Mwingiliano wa wanyama ni kwa madume kuwaingilia majike waliopevuka na walio katika joto lengo ni kuongeza kizazi na sio kustarehe au madhumuni mengine. Wanyama hawaingiliani kinyume na maumbile, hilo liko kwa binadamu tu.
 
Ili muingiliano ukamilike ni lazima mwanaume awe "ready"; mdada hawezi kumchukua tu mtoto wa kiume out of his consent na ikawezekana kirahisi.
 
My ghosh, kumbe kuwahamisha kutoka bording bado siyo suluhisho, Mungu tuepushe na hizi nyakati ngumu.
 
Nikusahihishe kidogo; wanyama hawajafikia level hiyo! Mwingiliano wa wanyama ni kwa madume kuwaingilia majike waliopevuka na walio katika joto lengo ni kuongeza kizazi na sio kustarehe au madhumuni mengine. Wanyama hawaingiliani kinyume na maumbile; hilo liko kwa binadamu tu!
Wanyama wanangilia kwa ajiri ya starehe kuzaa ni matokeo.
 
Mihemuko gani ya mtoto wa umri wa miaka 5? Yan sijui kwa kweli
 
Kuna umuhimu wa hizi school Bus kuwa na Wadada kusaidiana na Madreva..

Nimekuwa nikiona baadhi ya School Bus anakuwepo Dereva na watoto tu. Binafsi maswali yangu yakawa yanawaza mambo kama haya..

Halafu hiyo shule Ina shida gani? Si ndiyo hiyo Mwaka jana mtoto alisukumwa na Mwenzake akadondokea kwanye Sufuria ya uji akafa?
 
Mihemuko gani ya mtoto wa umri wa miaka 5? Yan sijui kwa kweli

Hao ndio unaosikia wanabaka mbuzi au kuku(sio kwamba mbuzi au kuku anamvutia), kwahiyo akipata fursa ya kubaki kwenye gari na mtoto mdogo ndio anatumia huo mwanya kumlawiti,tatizo ni shule zenyewe mara nyingi kwenye gari kunakuwa na madame kwa ajili ya kuwaangalia watoto, sasa ukimuacha dereva peke yake wa 20s ambaye hana mke ana ugwadu lazima atatumia slope hiyo kupunguza wazungu.

Mimi mara nyingi sipeleki mtoto shule ya mbali na kwangu,sifati jina la kubwa la shule ,kwahiyo akija kuchukuliwa anakuwa na wenzake ndani na pia anakuwa wa kwanza kurudishwa ,habaki peke yake.
 
Yaani Sahivi mbali na ugumu wa kutafuta pesa, ugumu mwingine ni kulea watoto wetu maana sio kwa mabalaa haya.
 
Pia kuna shule zinatimia noah. Watoto wanashindiliwa humo kama mizigo, hili pia nalo liangaliwe.
 
Mh! Darasa la kwanza?! si bora angemshika maziwa wa darasa la 5 au la 6 pasipo kumnajisi?
 
Mwanafyale ameshindwa kumshinda shetani, amekubali kunyea ndoo
 
Back
Top Bottom