Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

wamiliki wa shule binafsi mnao wajibu wa kuchugunza historia za madereva kabla hamjawaajiri, kuna hatari ya kuajiri wavuta bangi na wahuni.
wazazi kuweni macho.
 
Jamani saa ngapi tena?? Nilifikiri school bus zimeweka utaratibu wa kutembea na walimu mmoja kwa zamu??
Hii mbaya jamani!
Huyu mtoto POLE kwa wazazi!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Jamani saa ngapi tena?? Nilifikiri school bus zimeweka utaratibu wa kutembea na walimu mmoja kwa zamu??
Hii mbaya jamani!
Huyu mtoto POLE kwa wazazi!

Everyday is Saturday............................... 😎
Alimbaka au ? Maana kunajisi sielewi ndo Nini?
 
Wale watoto wa mwanzo (alfajiri) wanaopitiwa na gari mapema kigiza kikiwepo huwa ni victim wa madereva na wale wadogo wanateswa na wale wakubwa. Wazazi waangalie hilo.

Kuna member humu alisema aliwaona wanafunzi kwenye school bus wakinyonyana ndimi siti ya nyuma kabisa. Kaa chini na mwanao atakueleza mengi kama sio yake basi ya wanafunzi wenzake.
Du watoto wa jinsia gani wa kike kwa wa kiume au?
 
Alimbaka au ? Maana kunajisi sielewi ndo Nini?
Molestation, sasa inaweza kuwa kumbaka kinyume na maumbile!
Kumtia vidole, BlowJ, hawajafafanua lakini hayo ndiyo yaweza kuwa yametokea.

Wanaume tunafeli!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Mambo ni [emoji91], Dunia imejaa fujo,uchafu , ukatili hadi naumwa.Watoto wetu tuwafiche wapi Sasa?.Ee Mungu uturehemu.
 
View attachment 1722734

Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano.

Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa Msuguri

Dereva huyo amekuwa akiwabeba wanafunzi wanaosoma shule hiyo.


Chanzo: Mwananchi
Hii shule nadhani ina uzembe fulani ambao hauvumiliki, last year kama sikosei kuna mtoto aliungua kafariki baada ya kudondoka kwenye sufuria la chai, nilijiuliza maswali mengi ikiwa ni pamoja utaratibu unaotumika kuwapatia watoto breakfast na usimamizi wao

Shule nyingi kwenye achool bus lazima anakuwepo matron tena nakaa nyuma na watoto, hii imesaidia kuweka usalama wa watoto ikiwa ni pamoja na kuwaangalia wasigombane wanapokua ndani ya basi kwa sababu mara nyingi wanachanganyikana wakubwa na wadogo

Shule yenye hadhi ya st Anne Marie imeonyesha udhaifu mkubwa kwenye hili na inawezekana uongozi ni mbovu kiasi wanashindwa kusimamia usalama wa watoto wawapo mashuleni na kwenye school bus

Wazazi nao ,inabidi wafuatilie maswala kama haya, ikiwa ni pamoja kuwauliza watoto wanakaaje ndani ya mabasi, utaratibu wa chakula, madarasani, vyooni, na hata kwenye vikao vya wazazi ni mambo ya msingi ya kuzungumza na uongozi wa shule
 
Molestation, sasa inaweza kuwa kumbaka kinyume na maumbile!
Kumtia vidole, BlowJ, hawajafafanua lakini hayo ndiyo yaweza kuwa yametokea.

Wanaume tunafeli!

Everyday is Saturday............................... 😎
Evil evil .Ni ukichaa mtoto wa miaka 5??
 
Duuh uyu mnyakyusa kazingua mtoto wa miaka 5 alitaman nn kwake
 
Wacha akaozee jela bazazi pumbafu sana ; machangu yamejaa kinondoni hadi buku tatu unapata mzigo hutaki... fala sana we dereva.
 
Wazazi mmeacha wajibu wa kulea watoto wenu, mmewapa wafanyakazi wa ndani na walimu. Mtoto wa miaka 2 anapelekwa shule. Ni aibu kwa wazazi. Mtoto wa miaka 2 kweli?
Watoto wakubwa wanachowafanyia watoto wadogo ni aibu na uonevu.

Huyo dereva Kama ni kweli sheria ichukue nafasi yake
 
Na wale watoto wanaopanda bodaboda Tena mishikaki. Huwa naogopaga sana kwa kweli na unakuta Dereva anakimbia balaa
 
Back
Top Bottom