Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Dereva wa basi la shule adaiwa kumnajisi Mtoto wa miaka 5

Mimi shule wanangu wanasoma kila gari linakua na mwalimu,sinaga ujinga wa kusomesha shule za bora liende
Unafanya vizuri sana. Lakini wakati mwingine sisi watanzania ni watu sijui nisema waoga au tu wazembe, yaani mzazi anakubali mtoto wa miaka mitano apande kwenye basi bila uangalizi wa mtu? Vitu vingine ni kutumia common sense tu.
 
Ukimtia gumi la kolomeo atadai mganga kamtuma apate kuwa mvuta kwa mpenzi au utajiri.
 
Huu mchezo wa madereva kukaa peke yao na watoto kwenye gari bila kua na mdada (awe kama matron) kwenye gari sio wa kuvumilika. Kila bus liwe na dereva Ila na mdada wa kuwaongoza watoto.
Ila ni kwetu tu, hii naamini yatakuwa ni ya imani za kishirikina tu, hata tukimuuliza mtuhumiwa utakuta ana mke na mabibi kibao, akatwe mhogo tu..
 
View attachment 1722734

Dar es Salaam.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, linamchunguza dereva wa basi la wanafunzi, Yohana Mwambene, kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wa miaka mitano.

Dereva huyo anatuhumiwa kufanya kitendo hicho kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya St. Anne Marie Academy iliyopo Mbezi kwa Msuguri

Dereva huyo amekuwa akiwabeba wanafunzi wanaosoma shule hiyo.


Chanzo: Mwananchi
Wanyakyusa tena!
 
Hizi shule zetu za school basi walivyo na njaa, wanashindwa kumpa overtime mwalimu kwa ajili ya kuwasindikiza watoto wote hadi wamalizike?

Halafu madereva wengi ni 20's wana mihemko na nyege MSHINDO(Hawajaoa) kwahiyo ni rahisi sana kuwabaka watoto..

Serikali inabidi iweke msisitizo na traffic wakamate gari la shule lisilokuwa na matron ndani.
Broh me huwa nahisi kuna kitu cha ziada tofauti na hizo unazoita nyege mshindo. Hivi imagine mtu anakuwa satisfied vipi na dogo wa miaka 5?

Mbona madem wanapatikana kirahisi sana mitaani tunamoishi?
 
... nikusahihishe kidogo; wanyama hawajafikia level hiyo! Mwingiliano wa wanyama ni kwa madume kuwaingilia majike waliopevuka na walio katika joto lengo ni kuongeza kizazi na sio kustarehe au madhumuni mengine. Wanyama hawaingiliani kinyume na maumbile; hilo liko kwa binadamu tu!
Mbuzi wanaingiliana sana kinyume na maumbile [emoji28][emoji28][emoji28].

Ila kiufupi kuna kitu hakipo sawa kwa huyo dereva au wote wanaotenda haya matukio
 
Mbuzi wanaingiliana sana kinyume na maumbile [emoji28][emoji28][emoji28].

Ila kiufupi kuna kitu hakipo sawa kwa huyo dereva au wote wanaotenda haya matukio
... labda buzi wa kwenu mkuu.
 
Huyo dere wamkate tu mboo na pumbu zake wamtilie mfukoni wamwache akwende zake
 
Kwan mdada hawazi kumnajisi mtoto wa kiume??

Hujawah sikia mdada anamchukua mtoto wa kiume na kufanya nae yjinga?

Dunia imeharibika, suluhisho ni kuwa wahudumu ndan ya hilo bus
Ndugu yangu upo sahihi kabisa kuweka mhudumu lakini umewai kujiuliza hata madereva wa hizo school bus wanalipwa shingap? Sembuse kuweka wahudumu dereva mwenyewe mshahara mauzauza sasa iyo ela ya kuwalipa ao wahudumu inatoka wapi
 
Back
Top Bottom