Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Kuna baadhi ya kazi mume wa mtu akiwa anaifanya unaweza mlia mke wake unamfanya kama wako,
Sasa kama hii dereva daladala saa 11 ameshaamka kurudi saa 4 usiku au na zaidi
Sasa huyo mkewe si ndio alikuwa kunda wake
 
Kwanini Yule mchina aliyeuwa mpenzi wake Hadi Leo hajakamatwa? Nashangaa wabongo wakifanya mauaji ni siku 3 Tu ameshadakwa ina maana Yule mchina anajua jinsi ya kukwepa POLISI tofauti na wabongo
Mchina anatembea na dumu la asali anawalambisha tu hawa (honey burgers,) a.k.a nyegere wanavaa miwani ya mbao wanajifanya hawamuoni
 
Yaan Aliya Jana akakimbilia Lind haraf leo kakamatwa ?? Sasa alijifichaje yaan unakamatwa mapema hivi?? Mapenz haya yatatumaliza tuspokuwa makini, hasa hasa cm znachangia Sana kugombanisha na kusababisha migogoro na vifo kwa wanandoa!! Zaman sm hazkuwepo na ndoa zlikuwa na aman, kwa hyo wanandoa tuwen Makin na cm zetu
Umenena bwashee sijui uko wap nikuagizie k-vant kubwa
 
password yangu ni jina lako mwenyewe wewe la kuzaliwa...
We😳 ulibadilisha lini Tena? Mbona uliniambia ukiweka jina la yule aliyekuwa anakutandikia kitanda vyema au ulimkuta kajifunika shuka lako pendwa?🤔
 
Mkuu simu mnazisingizia tu. Watu wangekuwa waaminifu wala kusingekuwa na shida. Sema simu zinasababisha watu kushikwa (Kwa sababu ya kupekuliana simu). Unadhani zamani watu walikuwa hawapigani miti nje ya ndoa? Ilikuwa sana tu ila ilikuwa hawashikwi vile hamna viushahidi. Wanakutana njiani wanenda fanya yao kisha wanapanga tukutane jumatano ijayo saa tisa na robo hapa hapa, fullstop!

Sasa siku hizi jitu linakula mke wa mtu na kila saa linamtumia msg umekula, umevaaje leo? Nakumiss baridi hii nyoko kabisa!
Mbona unarudi kulekule kwamba simu ndo tatizo?
 
Back
Top Bottom