Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Dereva wa Daladala aliyemuua mkewe Dar kisha kukimbia, akamatiwa Lindi

Mkuu simu mnazisingizia tu. Watu wangekuwa waaminifu wala kusingekuwa na shida. Sema simu zinasababisha watu kushikwa (Kwa sababu ya kupekuliana simu). Unadhani zamani watu walikuwa hawapigani miti nje ya ndoa?

Ilikuwa sana tu ila ilikuwa hawashikwi vile hamna viushahidi. Wanakutana njiani wanenda fanya yao kisha wanapanga tukutane jumatano ijayo saa tisa na robo hapa hapa, fullstop!

Sasa siku hizi jitu linakula mke wa mtu na kila saa linamtumia msg umekula, umevaaje leo? Nakumiss baridi hii!
Mitandao ya kijamii nayo ni shida tupu

Isingekuepo hata mimi ningekuwa mwaminifu kiasi .mfano hapa namcheat wife na binti nilie muona Facebook ni mzuri sana ,mfano mtaani hakuna wa kumfikia wife wala wote ninaowajua wa mkoa huu ila mitandao ya kijamii ilinikutanisha na kiumbe sijawahi ona kabla!

Pia mitandao ya kijamii eg wasap huko ma group mtu anaeza tafutwa na no mpya hata 20 kwa siku wote wakiwa mkoa nae mmoja na kuanza mtxt vishawishi vinaanzia hapo ni tofauti na kipindi haikuepo.. unakuta hata kama ni barabaran anaeza toka week nzima hajatoa namba hivo uwezekano wa kusalitiana unakuwa upo chini sana
 
Hebu tuache utani, mtu unavuta picha Bebi wako kaweka/kawekwa style ya popo kanyea mbingu....utaacha kuua mtu?🤣
Ahahahahahahaaa..!!! Afu anaidai ipelekwe mpaka shinani..!! Unauwa wallah..!! Ukute we mwenyewe hujawahi peana ya hivyo..!!
 
Mkuu simu mnazisingizia tu. Watu wangekuwa waaminifu wala kusingekuwa na shida. Sema simu zinasababisha watu kushikwa (Kwa sababu ya kupekuliana simu). Unadhani zamani watu walikuwa hawapigani miti nje ya ndoa?

Ilikuwa sana tu ila ilikuwa hawashikwi vile hamna viushahidi. Wanakutana njiani wanenda fanya yao kisha wanapanga tukutane jumatano ijayo saa tisa na robo hapa hapa, fullstop!

Sasa siku hizi jitu linakula mke wa mtu na kila saa linamtumia msg umekula, umevaaje leo? Nakumiss baridi hii!
Wenyewe utawasikia.. KITANDA HAKIZAI HARAMU.. Kumbe mtu keshachapiwa hapo
 
Itakuwa hizi style mpya za kufinyia ndani na mlete mzungu ndo zinachangia....zamani ilikuwa kifo cha mende tu🤣
Mlete Mzungu, Kafinyia Ndani, Popo Kanyea Mbingu, ndio mchango wa Nasib Abdul na WACHAFU MEDIA kwenye utamaduni wa Tanzania.

Serikali inamwogopa kwa sababu ndio celebrity wa kimataifa wa kwanza wa historia ya Tanzania.

Mbaraka Mwinshehe, Patrick Balisidya, Marijani Rajabu, Issa Matona, Bi Kidude walibeba bendera ya Taifa kwa taadhima na utauwa lakini hawakuwahi kutumbuiza Marekani, hawakuwa na You Tube followers na walikufa masikini wa kutupwa kwenye viroba.
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata Maarifa Hadith Matala (45), Dereva wa daladala, mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo kwa tuhuma za mauaji ya mpenzi wake, Sharifa Twaha Nyamaishwa (31), Kondakta wa Daladala aliyekuwa mkazi wa Kimara Suka Golani Wilaya ya Ubungo.

Inadaiwa Maarifa alimshambulia sehemu mbalimbali za mwili mpenzi wake huyo na kusababisha kifo chake, tukio hilo limetokea tarehe 16 Agosti 2022 huko maeneo ya Kimara Suka, na mara baada ya tukio hilo mtuhumiwa alitoweka.

Jeshi la Polisi baada ya kupata taarifa hiyo lilianza upelelezi na ufuatiliaji wa haraka na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa Mkoani Lindi alipokuwa amejificha.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa wapenzi hao walikuwa na migogoro inayosababishwa na wivu wa kimapenzi na kupelekea kugombana mara kwa mara, na mwili wa marehemu ulikutwa na majeraha.

Uchunguzi wa shauri hili unakamilishwa na mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo baada ya tuhuma hizo za kikatili uliovuka kiwango.
Mlifanya uchunguzi na ufuatiliaji wa haraka mkamkamata mtuhumiwa. Uchunguzi ukikamilika mtamfikisha mahakamani!!!???
 
Back
Top Bottom